Elipa malipo
Member
- May 27, 2024
- 7
- 4
Ajali ni tukio la dharura linayotokea au kupata mtu bila kutalajia na ambalo linaweza kusababisha majeruhi na wakati mwingine watu kupoteza maisha(vifo).Ajali ya barabarani ni tukio la dharura ambalo linampata mtu bila yeye mwenyewe kutalajia barabarani na wakati mwingine kusababisha majeruhi na vifo visivyotarajiwa.
Zifuatazo ni hatua za kuzingatia ili kuzuia ajali barabara na kufiki Tanzania tuitakayo kwa miaka ijayo.Moja,miundombinu bora ijengwee maeneo mbalimbali nchini.Miundombinu ya kisasa mfano, barabara ambazo zitakuwa na taa na zenye alama za barabarani. Hii itasaidia kupungua kwa ajali kwa sababu barabara zitakuwa bora.Miundombinu bora inasaidia vyombo vya usafiri kufika mapema.
Mbili, zitungwe sheria Kali ambazo zitakuwa zinawataka madereva kuendesha kwa mwendo unaotakiwa,dereva atakaekiuka sheria hafungwe miaka kadha kumi na tano (15) ili iwe fundisho kwa wengine.Wanaotumia vyombo vya moto mfano,magari
madogo, makubwa (malori na mabasi)na hata pia bodaboda.
Tatu,mamlaka ya usafiri wa mijini (TANROAD) na vijijini (TARURA) watoe elimu juu ya matumizi bora ya barabara;mfano, watumiajei waelimishwe juu ya matumizi bora ya vyombo vya usafiri ambavyo havija chaka.Hiyo itasaidia kuepuka ajali za barabarani pia, elimu itolewe juu ya matumizi bora ya alama za barabarani mfano,alama ya pundamilia inayotumiwa na watumiaji wa barabara kwa ajili ya kukatiza barabarani.
Nne,maafisa usalama barabarani waakikishe mfano, Kwenye basi Kila abiria anakuwa na siti yake ili kuepuka gari kubeba abiria kuliko inavyotakiwa. Hii inatokea kwa sababu wale wanatengeneza magari wanatengeneza viti kulingana na ukubwa wa gari kwa hiyo abiria wakizidi inaweza kusababisha ajali.
Tano,kuajili maafisa usalama wasiopenda rushwa;Hawa watanzingatia haki na kuhakikisha watumiaji wa barabara wanafuata sheria za barabarani mfano, kutoendesha vyombo vilivyochaka pia,hawa maafisa usalama watasaidia watumiaji wa barabara kuwa makini pamoja na kuzingatia haki.
Sita,vibali vya kuendesha magari vitolewe kwa madereva;ambao wameenda kozi zinazohusiana na huendeshaji wa magari.Hii
itasaidia kwa sababu madereva hao watakuwa na uwezo mkubwa wa kudhibiti kasi za magari wanayoyaendesha mfano, jinsi ya kuendesha magari sehemu iliyo na magari mengi kwa sababu Kuna madereva wengine wakifika sehemu hiyo wanashikwa na mapigo ya moyo.
Saba,madereva wa magari makubwa na madogo wawe na mazoea ya kupima afya zao mfano, baada ya miezi mitatu.Hii itasaidia kufahamu afya zao kabla ya kuendesha magari na pia,wapate ushauri wa kitabibu ambao utawasaidia kuhusiana na afya zao.
Nane,madereva waepuke unywaji wa Pombe;mfano MBEGE, MACHICHA,MVIVO n.k. Hizi Pombe huwa zinamfanya mtumiaji(dereva) kutoona vizuri.Huwafanya madereva na watumiaji wengine kuwa na hasira na kuwa wakorofi ambapo madereva wengine inawapelekea kuendesha magari kwa kasi kubwa.
Tisa,madereva waepuke matumizi ya madawa ya kulevya; dereva anavuta bangi mfano,(kokeini) halafu anaenda kuendesha chombo cha moto mfano,(gari).Bangi inasababisha mtumiaji (dereva)kuwa na hasira na kuendesha chombo cha usafiri kwa kasi kubwa.Hivyo basi watumiaji kuepuka na serikali kupitia mamlaka za usafiri kudhibiti hili watapunguza au kutowesha kabisa ajali za barabarani.
Kumi,kufanya marekebishi Kwenye barabara ambazo zimechaka;Hii itasaidia kuepusha ajali, abiria watakuwa salama mfano, barabara ya manispa ya (KAHAMA) mpaka Jijini (MWANZA) ambayo hahitaji kujengwa nyingine badala yake iboreshwe.
Kwa ujumla ,serikali kushirikiana na mamlaka mbalimbali nchini wanatakiwa kutoa elimu pamoja na kujenga miradi. Ili kuwasaidia watumiaji wa barabara (watembea kwa miguu na madereva) kuwa wazalendo juu ya matumizi bora ya barabara kwa maendeleo ya nchi nzima kwa ujumla.

Upvote
4