Mambo yakuzingatia unapotafuta forex mentor (mwalimu wa forex)

Joined
Sep 8, 2016
Posts
41
Reaction score
91
Biashara Ya forex Trading (Foreign exchange market) inakuja kwa kasi sana nchini kwa sasa Wa Tanzania wengi wamekumbana na changamoto kubwa ya kupata waalimu wenye sifa stahiki kuwafundisha forex wengi ya hawa ma forex GURU wamekua sihalali nawanachokitaka Tu ni pesa za wanafunzi wao nakuwaacha bila elimu sahihi juu ya biashara hii sasa mimi kama Mfanya biashara wa hii biashara yapata miaka minne sasa nimeona BURE kabisa ni wasogezee wana JAmiii mambo yakuzingatia kabla hujalipia Kupata elimu hii kwa mtu yoyote.

1. ''Mentor" huyo lazima awe na track record ya forex trading ilikuwa verified yenye kuonesha kwamba amekuwa akitengeneza faida kwa kipindi kirefu
kwanza kabisa mwalimu anaetaka kukufundisha forex lazima awe anaonesha anajua anachokizungumza kwa ushahidi wa uhakika kwamba yeye pia anatengeneza pesa na forex ushahidi huu, akuoneshe record yake ya account ya LIVE sio demo, Awe na record isiyopungua mwaka mmoja ikiionesha kua anafanya Vizuri. Ningetoa ushauri akuoneshe Record ya MYFXBOOK.COM iliyokuwa verified na tiki mbli

2. Lazima awe mtu amabae anakuandaa uweze kujitegemea kama Trader.
Mentor mzuri awe yule anakutengenezea mazingira yakujitegema kama trader, Nasio tukukufanya utegemee signal kutoka kwake pekee.

Bishara ya forex Trading inawezekana kupata faida nayo tena consistently nakumbuka alienifanya niamini hii kitu ilikua

Miezi minne iliopita nlikutana na kijana anaitwa Moki.jr alini inspire sana maaana ndo alikua mtu wakwanza anafanya hii biashara niliomuana nakuona track record yake.

"Watanzania tuwe makini Forex ni biashara kama biashara zingine na ukiijua namana ya kuifnya vizuru kwa faida mafanikio yapo nanimakubwa". Asanteni.
 
Nimependa paragraph ya mwisho....

Achilia mbali hizo sifa ulizozitaja ambazo kiuhalisia jamaa anazo zote... Ila...

Personally.. Japo sijaenda training ila nna kila sababu ya kumwamini huyu kijana anaitwa ONTARIO... yes he is not my mentor ila kupitia yeye nimejifunza forex hasa changamoto zake!!!


...

ForexForTz...
 
Shukran sana BORA wewe unasema ukweli hasa hiyo namba 4, Sio hao wanaodanganya watu ETI "TAJIRIKA NA FOREX TRADING" utapeli huo,,,, kwa ukweli na kwa mazingira yetu hapa TZ sio rahisi kumpata mentor mwenye sifa hizo
 
Shukran sana BORA wewe unasema ukweli hasa hiyo namba 4, Sio hao wanaodanganya watu ETI "TAJIRIKA NA FOREX TRADING" utapeli huo,,,, kwa ukweli na kwa mazingira yetu hapa TZ sio rahisi kumpata mentor mwenye sifa hizo
Ni nani alisema hicho kitu mkuu??
 
NINACHOWAHASA TU KILA ANAEJIINGIZA KWENYE HII BIASHARA AFANYE UCHUNGUZI BINAFSI KABLA YAKULIPIA MENTORSHIP KWA MTU YEYOTE SIFA SAHIHI NDO HIZO
 
forex kunamchezo unachezeka Michezo feki, kuna mda mwingine wanapandisha grafu ya dolla, watu wanatrade, kisha wanashusha muda huo huo. someni vizuri na hasa soma dar forex MKT, waakupa ukweli mtupu.jinsi mchezo huu ulivyo upo kama betting. au forex=betting
 
kama ujaenda kufundishwa soma kwanza mwenyewe huu mchezo wa forex, ukishaujua kwa undani ndio nenda kafundishwe. wenyewe wanakwambia kabisa mtaji wako upo kwenye hatar ya kupotea. sina maana napinga forex no biashara nzuri kwa anayeijuaa, ina inahasara kubwa piaaa, hakuna utajiri kwenye forex labda uwe broker au financial institution. na watu wanasema eti tramp ndio biashara yake, hahahah je anafanya kama nan? broker au financial institution.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…