Mtaalam_the_first
Member
- Sep 8, 2016
- 41
- 91
Biashara Ya forex Trading (Foreign exchange market) inakuja kwa kasi sana nchini kwa sasa Wa Tanzania wengi wamekumbana na changamoto kubwa ya kupata waalimu wenye sifa stahiki kuwafundisha forex wengi ya hawa ma forex GURU wamekua sihalali nawanachokitaka Tu ni pesa za wanafunzi wao nakuwaacha bila elimu sahihi juu ya biashara hii sasa mimi kama Mfanya biashara wa hii biashara yapata miaka minne sasa nimeona BURE kabisa ni wasogezee wana JAmiii mambo yakuzingatia kabla hujalipia Kupata elimu hii kwa mtu yoyote.
1. ''Mentor" huyo lazima awe na track record ya forex trading ilikuwa verified yenye kuonesha kwamba amekuwa akitengeneza faida kwa kipindi kirefu
kwanza kabisa mwalimu anaetaka kukufundisha forex lazima awe anaonesha anajua anachokizungumza kwa ushahidi wa uhakika kwamba yeye pia anatengeneza pesa na forex ushahidi huu, akuoneshe record yake ya account ya LIVE sio demo, Awe na record isiyopungua mwaka mmoja ikiionesha kua anafanya Vizuri. Ningetoa ushauri akuoneshe Record ya MYFXBOOK.COM iliyokuwa verified na tiki mbli
2. Lazima awe mtu amabae anakuandaa uweze kujitegemea kama Trader.
Mentor mzuri awe yule anakutengenezea mazingira yakujitegema kama trader, Nasio tukukufanya utegemee signal kutoka kwake pekee.
Bishara ya forex Trading inawezekana kupata faida nayo tena consistently nakumbuka alienifanya niamini hii kitu ilikua
Miezi minne iliopita nlikutana na kijana anaitwa Moki.jr alini inspire sana maaana ndo alikua mtu wakwanza anafanya hii biashara niliomuana nakuona track record yake.
"Watanzania tuwe makini Forex ni biashara kama biashara zingine na ukiijua namana ya kuifnya vizuru kwa faida mafanikio yapo nanimakubwa". Asanteni.