Wenzako walianza wiki mbili zilizopita ndan ya siku mbili baada ya training wakaanza kuona mafanikio...Mimi Binafsi sija Qualify kua Mentor wa hii biashara katika miaka hio minne, Ni miaka hii miwili ndo nimeanza kuonja mafanikio ya hii biashara
ingia YouTube ,andika dar forex mkt, utapata watu wanazungumza nakukuelekeza hii kitu, kwa kiswahili, kisha Fanya maamuzi. samahanii timu.............. mi sio kama naipinga, ila tunafafanua ukwelii
Mimi Binafsi sija Qualify kua Mentor wa hii biashara katika miaka hio minne, Ni miaka hii miwili ndo nimeanza kuonja mafanikio ya hii biashara
Vijana tuache uvivu na kutafuta shortcut...tufanye Kazi...twende shambani
Hii sio biashara ya waswahili aisee...Hivi kizungu km hakipandi unaweza fanya hii biashara kweli
Sio wa kwanza tanzania.... sema wa kwanza JF....Ukweli mmoja mkubwa ni huu...
Japokuwa hii biashara imekuwepo duniani muda mrefu na hata hapa Tanzania imekuwa ikifanyika kwa miaka mingi sana japokuwa kwa uchache mno, Lakini ni ONTARIO ndio amekuja kutufumbua macho na kutuzibua maskio watanzania tulio wengi kujaribu kuingia kwenye hii biashara.
To be honest, sikuwahi kushiriki mafunzo popote na wala sijawahi kuingia kwenye hii biashara, lakini ufahamu wa hii biashara niliinza kuupata kupitia mada za ONTARIO humu ndani JF na naweza kukiri wazi kuwa ONTARIO ndio mentor pekee wa kwanza wa kitaanzania aliyeweza kuwavutia watanzania wengi kujaribu kuingia kwenye hii biashara.
Yule jamaa anaweza na anajua aisee.
Unaposema umependa paragraph ya mwisho, unamaana zingine hukupenda?Nimependa paragraph ya mwisho....
Achilia mbali hizo sifa ulizozitaja ambazo kiuhalisia jamaa anazo zote... Ila...
Personally.. Japo sijaenda training ila nna kila sababu ya kumwamini huyu kijana anaitwa ONTARIO... yes he is not my mentor ila kupitia yeye nimejifunza forex hasa changamoto zake!!!
...
ForexForTz...
Asante mkuu, comment yako iko biyee kabisa!Shukran sana BORA wewe unasema ukweli hasa hiyo namba 4, Sio hao wanaodanganya watu ETI "TAJIRIKA NA FOREX TRADING" utapeli huo,,,, kwa ukweli na kwa mazingira yetu hapa TZ sio rahisi kumpata mentor mwenye sifa hizo
Kwanini wewe husiwe mentor? Mbona msumbufu sana? Ubishi ubishi umekujaa kama kenge anaiba mayai ya kuku.[emoji23] [emoji23]Ni nani alisema hicho kitu mkuu??
Pole kwa stress za kila siku mkuuKwanini wewe husiwe mentor? Mbona msumbufu sana? Ubishi ubishi umekujaa kama kenge anaiba mayai ya kuku.[emoji23] [emoji23]
Kwanini uongelei subject ya mtoa uzii huu bila kutaja watu wengine? Nenda huko basi na wewe ukaokote pesa za bure!Ndio maana nasema ontario amekomboa wengi!!
Nani kasema kwenye forex kuna pesa za bure?Kwanini uongelei subject ya mtoa uzii huu bila kutaja watu wengine? Nenda huko basi na wewe ukaokote pesa za bure!