mkorea
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 7,938
- 17,729
Mnaongea kana kwamba mnamshambulia Ontario vile
Ila ata yeye Ontario anakuambia "mtu yoyote akikuletea elimu ya forex usikatae ila training ambayo ya kumlipa lazma akuonesha trading zake" kwa maana hyo Ontario lazma atakua anaonesha live trading zake
Mtoa Uzi miaka minne huu mchongo unaujua sema ila ukanyut kimya kmya kama jmo ubinafs ndio unatumaliza Africa hasa apa Tanzania