Mkuu ata graduates wa vyuo vikuu vyetu wanabwabwaja kwenye kingereza. Wengine wana masters na PhD, lakini kiingereza matatizo.Hii sio biashara ya waswahili aisee...
Kama Lugha ya Malkia haipandi vizuri na Elimu yako ya kuunga unga au umeishia darasa la saba, hii kitu kutoboza inaweza kuwa ni bahati nasibu.
Mkuu,kiingereza si factor pekee ya kukufanya uwe Fx trader au kuwa best trader! Binafsi issue hii ya forex trading nimeanza kusoma na kuvutiwa nayo way back kwenye mitandao mingine (siyo JF) wakati huo target yangu ilikuwa ni kujifunza namna salama ya ku invest kwenye stock exchange market,huko ndiko nilikokutana na hii kitu ya Fx! Mimi pia wazo langu la kwanza lilikuwa kwamba hii ni biashara nyingine kwa just a choosen few! Especially wale ma First world Soros and Trumps!! Wale wenye uwezo wa kubadili lugha kuwa namba! Lakini taratibu mentality hiyo imeondoka kwangu!suala la lugha si barrier itakayo mzuia mtu yeyote ku trade forex! Mchina asiyejua kiingereza anapiga hela za kutosha tu huko,huku mwingereza mwenye phd akipoteza!! Hii issue iko very complex,mimi si trader,ila napenda kujua what's In! Najifunza kwa bidii zote niweze kuijua vyema,nawasoma wenzangu na kuwauliza maswali pia,nasoma vitabu,nafanya demo, najitahidi kuelewa mazingira yote yanayoizunguka hii biashara kabla ya kujiingiza huko! Kwa sababu pia si lazima niifanye!! Ila napenda tu niijue vizuri! Thanks for ONTARIO ameni inspire alot!Mkuu ata graduates wa vyuo vikuu vyetu wanabwabwaja kwenye kingereza. Wengine wana masters na PhD, lakini kiingereza matatizo.
Hii ndio kitu watu hawataki kuelewa na hao mentor hawapo tayari kuwaeleza ukweli wanafunzi wao.wanamsemo wao wanasema" wekeza mtaji ule ambao utakuwa comfortable kuupoteza" na wanasema 95% wanapoteza au kuliwa kwenye forex na 5% ndio wanashinda.
Umejiongelea wewe binafsi jinsi unavyofanya jitihada kujifunza, ni vizuri kiingereza kwako si tatizo ili kuelewa forex na inspiration ya Ontario.Mkuu,kiingereza si factor pekee ya kukufanya uwe Fx trader au kuwa best trader! Binafsi issue hii ya forex trading nimeanza kusoma na kuvutiwa nayo way back kwenye mitandao mingine (siyo JF) wakati huo target yangu ilikuwa ni kujifunza namna salama ya ku invest kwenye stock exchange market,huko ndiko nilikokutana na hii kitu ya Fx! Mimi pia wazo langu la kwanza lilikuwa kwamba hii ni biashara nyingine kwa just a choosen few! Especially wale ma First world Soros and Trumps!! Wale wenye uwezo wa kubadili lugha kuwa namba! Lakini taratibu mentality hiyo imeondoka kwangu!suala la lugha si barrier itakayo mzuia mtu yeyote ku trade forex! Mchina asiyejua kiingereza anapiga hela za kutosha tu huko,huku mwingereza mwenye phd akipoteza!! Hii issue iko very complex,mimi si trader,ila napenda kujua what's In! Najifunza kwa bidii zote niweze kuijua vyema,nawasoma wenzangu na kuwauliza maswali pia,nasoma vitabu,nafanya demo, najitahidi kuelewa mazingira yote yanayoizunguka hii biashara kabla ya kujiingiza huko! Kwa sababu pia si lazima niifanye!! Ila napenda tu niijue vizuri! Thanks for ONTARIO ameni inspire alot!
Ontario alisema anaandika kitabu cha kiswahili kwa ajili yao!! na wenda atakua amekimaliza!!Sasa itakuwaje kwa wale wasiyo jua kiingereza vizuri, je wataweza jifunza forex?
Watu wanfanya biashara ya importation toka ulaya china drs la 7 bila hicho bila hicho kizungu na wametajirika USIOGOPE JARIBU NA HAKIKA UTAKIJUA KIZUNGU CHA FOREX VIZURI TUHivi kizungu km hakipandi unaweza fanya hii biashara kweli
Nakubaliana na wewe mkuu , ila tunaogopa kumkatisha tamaa mtu bora mpe tahadhali na kumtia moyo , wengi wa watanzania SIO kwamba hawajui kabisa english wengi hawana Confidence tu kuwa wanaelewa , kwa uzoefu wangu huyo unayemuona hapa hajui kbs english ebu kutana nae china au dubai(au kwa simu za nje ya nchi) anavyowasiliana na suppliers wake ndio utajua kuwa watanzania wengi wanajua english vzr tu ila hawana uzoefu wa kutosha lakini kusikia na kuelewa na kujibu (hasa wajasriamali) hawana shida kabisa, mwanzo atapata shida kdg lkn utashangaa baadae lisiwe tatizo kwake kabisa, kama ilivyo taaluma zingine kila taaluma ina lugha yake kujifunza nilazima na ni kwa kila mtu bila kujali elimundugu zangu uwongo mbaya biashara hii in my experience lazima ujue kiingereza walau cha kusoma na kuandika maana hapo ndo utaweza wasiliana na mabroker katika kupata msaada mbalimbali either maswala ya withdraw na deposit pia "Elimu ya forex sio elimu yakujifunza week au siku kdhaa utegemee ndo utengeneza pesa milele nijambo amabalo utaendelea kujifunza kila siku maana soko lenyewe lina badilika PIa io elimu mtakayo jifunza "kwenye seminar haitoshi izo elimu zipo kwaajili yakukufumbua tu" Mwenye masikio naasikie
CONGRATULATION ! ! !Mkuu,kiingereza si factor pekee ya kukufanya uwe Fx trader au kuwa best trader! Binafsi issue hii ya forex trading nimeanza kusoma na kuvutiwa nayo way back kwenye mitandao mingine (siyo JF) wakati huo target yangu ilikuwa ni kujifunza namna salama ya ku invest kwenye stock exchange market,huko ndiko nilikokutana na hii kitu ya Fx! Mimi pia wazo langu la kwanza lilikuwa kwamba hii ni biashara nyingine kwa just a choosen few! Especially wale ma First world Soros and Trumps!! Wale wenye uwezo wa kubadili lugha kuwa namba! Lakini taratibu mentality hiyo imeondoka kwangu!suala la lugha si barrier itakayo mzuia mtu yeyote ku trade forex! Mchina asiyejua kiingereza anapiga hela za kutosha tu huko,huku mwingereza mwenye phd akipoteza!! Hii issue iko very complex,mimi si trader,ila napenda kujua what's In! Najifunza kwa bidii zote niweze kuijua vyema,nawasoma wenzangu na kuwauliza maswali pia,nasoma vitabu,nafanya demo, najitahidi kuelewa mazingira yote yanayoizunguka hii biashara kabla ya kujiingiza huko! Kwa sababu pia si lazima niifanye!! Ila napenda tu niijue vizuri! Thanks for ONTARIO ameni inspire alot!
Kama ataandika kitabu atakuwa mtu wa kwanza kufanya hivyo.Ontario alisema anaandika kitabu cha kiswahili kwa ajili yao!! na wenda atakua amekimaliza!!
Kuto kujua english haimaanishi hutajua forex.
Unadhani Lowassaalikosea kusema vipaumbele vyakevikuu 3 ni Elimu..?Nilikuwa nakuona mjanja kumbe boya tu.. Eti forex ni sawa na tatu mzuka aisee
Unatudhalilisha upinzani, Hebu ondoapobasihako ka'Avatar kako then uendelee kukoment mawazo yako...😀Forex ni betting
forex kunamchezo unachezeka Michezo feki, kuna mda mwingine wanapandisha grafu ya dolla, watu wanatrade, kisha wanashusha muda huo huo. someni vizuri na hasa soma dar forex MKT, waakupa ukweli mtupu.jinsi mchezo huu ulivyo upo kama betting. au forex=betting
Yao au yenu? Mbona wewe umejitoa?Ontario alisema anaandika kitabu cha kiswahili kwa ajili yao!! na wenda atakua amekimaliza!!
Kuto kujua english haimaanishi hutajua forex.
Ni yao. Nimejitoa kwasababu sio muhusika.Yao au yenu? Mbona wewe umejitoa?
Sasa wewe mpiga domo wao au kwa lugha nyingine msemaji wao?Ni yao. Nimejitoa kwasababu sio muhusika.
That's your opinion. With due respect, a person may be a hero to you but not to all! And thats my opinion too, you are free to disagree!Ontario is the hero when it comes to Forex kiukweli jamaa ni Shujaa
Unaweza ku expand kidogo hiyo taarifa ya kwamba "Forex ni betting." Na maana maelezo zaidi maana umetuweka katika dilemma kielewa una maanisha nini exactly.Forex ni betting
Nimejibu nilichoulizwa, kwani kuna ubaya?Sasa wewe mpiga domo wao au kwa lugha nyingine msemaji wao?
Mzee wa ngonjera!