Mkuu,kiingereza si factor pekee ya kukufanya uwe Fx trader au kuwa best trader! Binafsi issue hii ya forex trading nimeanza kusoma na kuvutiwa nayo way back kwenye mitandao mingine (siyo JF) wakati huo target yangu ilikuwa ni kujifunza namna salama ya ku invest kwenye stock exchange market,huko ndiko nilikokutana na hii kitu ya Fx! Mimi pia wazo langu la kwanza lilikuwa kwamba hii ni biashara nyingine kwa just a choosen few! Especially wale ma First world Soros and Trumps!! Wale wenye uwezo wa kubadili lugha kuwa namba! Lakini taratibu mentality hiyo imeondoka kwangu!suala la lugha si barrier itakayo mzuia mtu yeyote ku trade forex! Mchina asiyejua kiingereza anapiga hela za kutosha tu huko,huku mwingereza mwenye phd akipoteza!! Hii issue iko very complex,mimi si trader,ila napenda kujua what's In! Najifunza kwa bidii zote niweze kuijua vyema,nawasoma wenzangu na kuwauliza maswali pia,nasoma vitabu,nafanya demo, najitahidi kuelewa mazingira yote yanayoizunguka hii biashara kabla ya kujiingiza huko! Kwa sababu pia si lazima niifanye!! Ila napenda tu niijue vizuri! Thanks for
ONTARIO ameni inspire alot!