Mambo yakuzingatia unapotafuta forex mentor (mwalimu wa forex)

Samahani kwa maswali mengi lakini hata hio cent account siifahamu
 
NAfkiri hii Video itakua yenye msaada Juu hii biashara "ikieleze ukweli juu hii biashara"

One of the best video i have seen on this subject. Everyone who is serious about learning forex should listen to this video. The whole video.

It will help you to avoid many mistakes, and various scams, these people have many IDs, they do and will always resort to kejeri, matusi and kebehi using their different IDs. They will shoot down everybody who questions their plans, ideas or who want to present the truth or different point of view.

They want to and they have dominate and moderate this Jukwaa la Biashara for a long time. Serious business and ideas they don't get a chance to be seen, heard or allowed to present their ideas, you can have top 10 topics controlled by them. Somehow they got that power to moderate this space.

It is unfortunate but not surprising.

Listen to the message.
 
Asilimia kubwa ya traders wanaongia kwenye hii biashara wana feli miezi 3 mitatu mingi huwasikii tena wanapotea maana wanadanganywa na mamentor feki kuwa wanaweza tengeneza pesa harakaharak 100% return in a day or week or month hichi kitu (kinawezekana) ila sio kwakipindi kirefu eventually utapoteza kila kitu [HASHTAG]#Mwenye[/HASHTAG] masikio na Askie# ingekua rahisi ivo basi ata uyo mentor asingepoteza muda wake kuangaika na wanafunzi akae chini a Trade Tuuuu’
Ukweli nikwamba hawa mamentor wanaelewa ukweli juu ya hizi biashara
 
Mentor hufanya hizi biashar ili kutengeneza kipato cha ziada mbali na trading’ bishaea ingekuanrahisi ivo kama ma mentor feki wanavyowatia watu moyo wao wangeshakua ma billionea
 
Mentor hufanya hizi biashar ili kutengeneza kipato cha ziada mbali na trading’ bishaea ingekuanrahisi ivo kama ma mentor feki wanavyowatia watu moyo wao wangeshakua ma billionea
Wape ukweli, ma ignorant yenye tamaa yako mengi. Wanadanganywa na mamentor wao eti ata benki haitaki wajue biashara ya forex! Yaani vichekesho! Benki kweli ina time ya kudanganya mtu hasijifunze forex? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukiona mentor anakufundisha mbinu zakipuuzi zakutrade sana kwa siku (kama ninavyo ona mitandaoni sasa watu wanafungua position kumi na nane kidogo kwa siku!!!UNafikiri “PAUL TUDOR JONES aliku billionea kiivo[emoji23][emoji23][emoji23] Amka mwana JAMIII” Hawa watu wana IB agreements wanataka utrade sana sanaa maana kila unapobonyeza buy/sell analipwa commissions kwa kila ukifungua position yaani payments per lot
 
Mentor hufanya hizi biashar ili kutengeneza kipato cha ziada mbali na trading’ bishaea ingekuanrahisi ivo kama ma mentor feki wanavyowatia watu moyo wao wangeshakua ma billionea

Mbona mimi najua hii biashara sio rahisi wewe nani amekuambia ni rahisi kila mtu aweza fanya?

Well,mimi nadhani mnafanya jitihada nzuri za kuwafungua watu macho ,sasa nadhani ni uamuzi wao kufanya au kuacha

Waacheni waibiwe/wapige pesa huko mbele ndio tutajua kama wewe ni hater au wao ni risk takers

Good thing ni kuwa wanaofanya Forex wote wako vizuri hivyo wanajua wanachokifanya
 
Unashauriwa kutumia broker umpenda name so usipotoshe
 
Hivi forex na tatu mzuka ipi inakupa chance kubwa ya kuibuka na pesa?
 
jamani kuna kitu sjaelewa je naweza ku BUY tu bila kununua na kupata faida na kuitoa au ni lazima ununue na uuze ili uweze pata faida.
 
broke yupi ni mzuri na anatoa bonus nyingi kwa deposit amount ya $100
 
jamani kuna kitu sjaelewa je naweza ku BUY tu bila kununua na kupata faida na kuitoa au ni lazima ununue na uuze ili uweze pata faida.

Hii inaonesha hujaelewa basic concept ya hii biashara

Hii biashara unanunua pesa kwa bei ndogo ukitumaini kuwa bei yake itapanda .Bei ikipanda unauza ...Tofauti ya bei ya kununulia na ya kuuzia ndio faida
 
Ndio maana nasema ontario amekomboa wengi!!
To be honesty ktk wote walio ongelea biashara ya forex huyu jamaa wa hii mada kaeleza ukweli halisi wa hii kitu.
Hii sio biashara ya utajiri wa haraka na odds za kufanikiwa sio kubwa hivyo labda kama wewe ni broker au financial institution kama alivyosema jamaa.

Way back in 2009/2010 nilikuwa na mkurugenzi wangu mkanada (Canadian) ambae alikuwa ameacha hii biashara na kufanya biashara nyingine tofauti na forex.
Kiukweli jamaa kama aliacha hiyo kitu aliona prospecting profit ya hii kitu sio guarantee kihivyo kama wanavyo aminishwa wabongo wengi.

My take:
Biashara ni biashara hakuna mbaya kama tu unaijua vizuri. Watu watumie fursa hii ya forex lakini wategemee lolote sio faida tu.
 
Hii sio biashara ya utajiri wa haraka na odds za kufanikiwa sio kubwa hivyo labda kama wewe ni broker au financial institution kama alivyosema jamaa.

.
Kwani kuna sehem mtu alisema hii ni biashara ya kupata utajiri haraka haraka??
 
nashukuru mkuu nimeelewa ila nilisoma ikawa inanichanganya tu kidogo kwenye hiyo kitu hapo basi ila nish elewa saizi fresh
Hii inaonesha hujaelewa basic concept ya hii biashara

Hii biashara unanunua pesa kwa bei ndogo ukitumaini kuwa bei yake itapanda .Bei ikipanda unauza ...Tofauti ya bei ya kununulia na ya kuuzia ndio faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…