Bila huyo jamaa nisingejua kuwa kuna kitu kinaitwa forex.
Forex inataka mtu mwenye malengo ya kukuza mtaji.
Ndio maana wanasema haipo kwaajili ya wasio na kazi.
Maana yake ni kwamba, usianze forex kwa lengo la kukidhi mahitaji yako, utafeli.
Kwa upande wangu nimejiwekea malengo ya kupata japo dollar 2 tu kwa siku kwa muda wa miezi 6. Baada ya hapo nimepanga kupata japo dollar 4 tu kwa siku kwa muda wa miezi 6.
Angalia mchanganuo hapa chini.
2018 June = $2
2018 DEC = $4
2019 June = $8
2019 dec = 16
.
.
.
.
2027 DEC = $1048576 kwa siku.
Mtaji wangu ni $200. Natumia cent acc ambayo lot naweka 0.10.
Hata trade ingeenda kinyume na mimi, acc haiwezi kuungua.
Nina malengo ya kutajirika miaka 10 ijayo kama nitakua hai. Hivyo ndivyo forex inataka