Mambo yakuzingatia unapotafuta forex mentor (mwalimu wa forex)

Mkuu naomba kuuliza ni akina nani hao wanaoamua samani ya fedha hii ipande na hii ishuke?? Je hii biashara unaweza vipi kuicontrol?
 
Kiswahili lugha yetu lakini muda mwingine kinakuwa kigumu kuelewa...mtoa mada hapa kaelezea kile anchojua kuhusu kutafuta mentor wa forex sijui inakuwaje wengine wanaanza kumuingiza Ontario katika uzi huu??
By the way forex iwe trade ama betting ni wewe na uelewa wako na jinsi unavyoweza kuichukulia...kama mimi ninafanya sana tu Sports Betting na kwa jinsi nilivyoielewa Forex ni Advanced Betting.

Ukiqoute hii comment usiniletee hoja za kutaka nikubali Forex ni trade.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wabongo bana
 

Ndugu inanishanganza sana Toka nitoe mada hii nimekua nikipata tu Indirect hate kutoka kwa baadhi ya commentors humu “Nimekuja kugundua awa ni supporters wa Ontario” mimi sikutoa hate kwa ontario nilitoa Angalizo kwa jamii nakama huyu mentor yupo clean well and good afanye business watanzania wafanikiwe kimaisha Kama yeye anavyodai alivyofanikiwa “as said na support wake”
 
Don't count on them mkuu...you play yor part and it souds helpfull hayo mengine ni uhuru wao kuongea kile walichonacho kichwani mwao kwa sababu kitu ninachokiona hapa since ONTARIO kaanzisha uzi wa forex ni jambo jema na limewasaidia wengi sawa tatizo followers wake si wenye kukubali criticism thats why nilisema sitaki mtu aniquote kwa kutaka niamini anchoamini yeye.
Binaadamu anataka kusikia kile anchokitaka yeye kukisikia kwa maana ya kuelewa....i hope umenipata point yangu mkuu.
 
Ontario alisema anaandika kitabu cha kiswahili kwa ajili yao!! na wenda atakua amekimaliza!!

Kuto kujua english haimaanishi hutajua forex.

vipi ameshaandika kitabu cha kiswahili... mwaka unaisha haonekani humu
 
Hivi ni kwa nini ule uzi wa Ontario ulifungwa? Au kuna idadi ya comment ikifika basi lazima uzi ufungwe maana naona kuna nyuzi nyingi tu humu zenye comment zaidi ya ule uzi wa Ontario lakini hazijafungwa ndio maana nashangaa kuona ule uzi umefungwa tena bila sababu za wazi. Au sijui ndiye ile roho ya korosho ya kutotaka watu wengi wasijue kuhusu forex ama ni nini? Hata hivyo moto wa forex ulishasambaa na unaendelea kusambaa kwa kasi ya 5G a.k.a upepo wa kisulisuli.
 
Kosa kubwa la traders wengi wa forex wanaoanza kutrade na hata ambao wapo kwenye hii biashara kitambo ni kutaka kutatua shida zao za kila siku kwa njia ya forex kitu ambacho ni uongo/not realistic. Hata ukifungua duka leo halafu ukategemea hilo duka ndiyo liendeshe maisha yako ya kila siku wewe na familia yako utafulia tu fasta sana. Na ndicho hicho traders wengi hasa wapya wanafikiria pindi wanapoingia kwenye hii biashara na ndio maana kuchoma akaunti kumeshamiri. Kwa ufupi wengi tunatrade forex bila malengo (trading plan) na tunataka mafaniko ya haraka ndani ya muda mfupi tena kwa mtaji mdogo.. Huwezi kushinda vita yoyote ile kama huna plan (strategy) ya kupigana hiyo vita hata kama una siraha kali kuliko adui yako. Ndiyo maana unaposema kwamba wewe kwa siku unalenga kupata dollar 2 on average wengine humu wanashaangaa.

Kwa uzoefu wangu mdogo naamini kwamba kama una knowledge, trading skills and trading system plus trading plan (strategy) nzuri ambayo umeprove kwamba inafanyakazi vizuri basi hilo suala la kupata dola 2 kwa siku (on average-maana kuna siku unaweza kupiga hata dola 15 na siku nyingie unaweza kula hata hasara ya dola 2 au 3) linatekelezeka vizuri kabisa. TATIZO WENGI HATUNA TRADING PLAN/STRATEGY TUNAJUA TU KUFANYA ANALYSIS, KUWEKA POSITION NA STOP LOSS NA TAKE PROFIT BASI. BILA TRADING PLAN/STRATEGY INAYOELEWEKA NI KAMA UNAFANYA TU GAMBLING SOMETIMES UNAKWENDA MBELE HATUA 10 NA KURUDI NYUMA HATUA 15.
 
Nimeipenda hii
 
Kuna mahali umesema umefanya hii biashara kwa miaka 4 alafu kuna sehemu unasema aliykushawishi kuingia kwenye hii biashara ulikutana naye miezi 4 iliyopita ebu fafanua vizuri hapo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…