Iran ilikuwa dhaifu na imefilisika awamu ya Trump, Iran imekuwa tajiri na yenye jeuri ya pesa za kufadhili vikundi vya kigaidi awamu ya Biden.
Trump aliiwawekea vikwazo vikali mno Iran ili wasiuze mafuta, Mkakati huu uliwafanya Iran wawe wamenyongonyea kiuchumi, Hawakuwa na nguvu wa la jeuri waliyo nayo sasa.
Siku ya kwanza Biden anapoingia ofisini 2021 aliondoa hivyo vikwazo, Iran imekuwa tajiri sana, Imeweza kunenepesha hazina ya kufadhili vikundi vya kigaidi, Jeuri ya pesa imeweza kuanzisha yaliyoanza October 7, Pesa zipo za kutosha.
Iran inauza mapipa zaidi ya milioni 1 na nusu kwa China kila siku, achilia mbali wateja wengine kama Syria, Uae, n.k.
Biden alienda mbali zaidi kuwapa Iran Dola bilioni 6 (Shilingi trilioni 16) iwe pesa ya kuwakomboa wamarekani wanne waliotekwa Iran, Ni dau nono la kukomboa mtu alietekwa kuwahi tokea, Hii ni pesa iliyoweza kuongeza uimara wa vikundi vya Hamas, Hezbullah, n.k.