Eka du πWahindi ndo wanamahaba ya kulishana na kula sahani moja tena kwa mkono.
Kazi kwenu mlioko kwenye hiyo taasisi.
Nimekumbuka wimbo wa kisambaa; UNYUMBAA NI MAPAATAANOO NA MKAZIEE KUHEEMBEEZAANAAA.......
Huyo anaesusa chakula itakuwa kashiba tu sidhani kama mtu anaweza kususia chakula akiwa na njaaNa baba kwanini ususe chakula? Mcha wote nimebembeleza watoto ambao ni fussy eaters na Baba nae ni fussy eater?
Kuna shost alinipa stori alivyonunuliwa kiwanja Mbezi Jogoo miaka hiyoo baada ya kumaliza form fourHuyo anaesusa chakula itakuwa kashiba tu sidhani kama mtu anaweza kususia chakula akiwa na njaa
Eka du π
Umbuje ha ongaEka du [emoji23]
hahaaaHayo ni mabadiliko ya tabia ya ndoa
hahaaaHayo ni mabadiliko ya tabia ya ndoa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseee[emoji28][emoji28][emoji28] yani ushajichokea umetoka kazini ukajikaza ukapika na chakula afu anakuja kusema ameshiba woiii tena unatafuta na juice unashushia
Kwel kabisaNadhani nyakati hizi mizani imeshaanza ku balance( equality), mke haendeshwi, anaweza kujisimamia. sababu ni elimu, utandawazi, na uchumi wa familia kumilikiwa na pande zote.