kuna siku niliona wanapika ugali na nyanya chungu nikasema nimeshiba ule mda wapo wanakula nikapita sebleni nikakuta tobaa!kumbe mzee aliludi na nyama choma,machozi yakaanza kutoka nikaulizwa nini nikasema kichwa kinauma nilipelekwa mpaka dispensar kuchomwa sindano za bure,nyama hajawai niacha salama
Unamsindikiza rafiki yako wa mtaa wa saba huko huko unakutana na mzee halafu anapita bila kukuongelesha hapo ndo unageuka saladin anakukuta nyumbani unajisomea licha ya kuwa yeye alikuwa kwenye pikpik.
Mimi nilikuwa nakereka kwa mambo haya:
1:kurudi home mchana nakuta madha ana chambua mboga halafua ananiambia nikawashe jiko na inabidi nirudie shule,
2:Anapita home msichana tunayesoma naye darasa moja hata sijamwongelesha,madha anaonge kwa sauti ya juu'we hivi leo si ndio zamu yako kuosha vyombo,duuu nilikuwa nakasirika vibaya, wewe je?
Hata hatukuwa na maisha bora, tunapishana viwango tu.Nyie ilikuwa maisha bora, chai??
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sanaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uchoyo mbaya sana
Utakua mkorofi wewe, hahahhahmimi kulala mchana...nilikua sipendi na ilikua hamna kwenda kucheza hadi ulale mchana...basi nkifika room najilizaaaa hadi macho yawe mekundu af nachukua kitana nafunga kune paji la uso hadi alama itokee eti ndo mistari mistari ile ukitoka kuamka[emoji1]...af nakaa kidogo nasepa zangu kucheza...
Kumbe wewe bado mdogo sana. Wakati wa voucher zipo wewe bado mdogo!!!!!naangalia muvi ya dj rufufu wananituma nikanunue vocha ya buku wananipa 5000 kwa hasira naludi na vocha za hela yote
Mimi nilikuwa nakereka kwa mambo haya:
1: Kurudi home mchana nakuta madha anachambua mboga halafua ananiambia nikawashe jiko na inabidi nirudie shule,
2: Anapita home msichana tunayesoma naye darasa moja hata sijamwongelesha, madha anaongea kwa sauti ya juu 'We hivi leo si ndio zamu yako kuosha vyombo’
Duuuh, nilikuwa nakasirika vibaya! Wewe je?
Kumbe ulafi na tamaa haujaanza Leo?Dingi anapewa pande kubwa la samaki, madogo mnapewa tupande tudogo tudogo [emoji19][emoji19][emoji19]
Mbona comment.yako haina relation na mada?kazi yangu ilikuwaga kufagia uwanja wa mbele ya nyumba kila asubuhi, sasa najicheleweshaga kila siku mpka wenzangu wanapita mchaka mchaka me bado nafagia tu
[emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe ulafi na tamaa haujaanza Leo?
Eheeee yaan sipendii hiii kitu,mi utoto wangu jamani halaf nilikuwa naonaga sipo huru kabisaniletee kitunguuu-- unaleta
niletee nyanya-- unaleta
niletee kisu-- unaleta
niletee maji-- unaleta
hujakaa sawa
niletee mwiko-- unaleta
hujapumzika unasikia
hebu niletee chumvi
hadi hicho chakula kiive umeshatembea zaidi ya km 10 kufata vitu tu.
Mi mama ana tabia hiyo mpaka sasa hivi anapenda kutambulisha jamanii sijui wanasikia rahaaMie nilikuwa nachukia mama yangu alikuwa ana tabia kwa mfano kama tunatembea naye njiani, akikutana na mtu pale alipokuwa anaanza kunitambulisha "HUYU NI MWANANGU WA 3 KUMZAA ANAITWA...."
Kuna siku alikuwa ametupanga mimi na ndugu zangu baada ya kutoka church, siku alisalisha padre mgeni, basi akaanza zake "PADRE HAWA NI WANANGU, WA KWANZA NI HUYU, WA PILI NI HUYU WA TATU NI HUY...." mie hapo hapo nikatoka nduki kukimbia kuelekea home, wakati bado angali anatutambulisha kwa father mgeni, alivyorudi nyumbani akanikuta, kilichonipata....... ngoja kwanza nitamalizia kesho
Yote kwa yote R.I.P mama yangu kipenzi