Nimekubali asee hapo sio buguruniKuna Toto Lina tako hapa nyuma yangu dadek walahiii umeona toto hilo tako ***** dah
View attachment 3625881
Mkiwa hamna hela mnazingatia Methali za wahenga mamaee haha , mi Nakula bata kabla hata kitila hajafuata MkumboKuna msemo wa kiswahili dunia tambara bovu hivyo unavyo kanyaga ardhi ya dunia kanyaga kwa tahadhari sana.
Lakini pia wakati si wa milele, nyakati za heri mwambata wake ni nyakati za shari.
Wametoka nduki bili USD 340 ni mshahara wa graduate. Chizi Maarifa rudi tafadhaliNaam kuna waliotaka ligi siwaoni tena kwa nyuzi zangu
Mi nakunywa siku mojaWametoka nduki bili USD 340 ni mshahara wa graduate. Chizi Maarifa rudi tafadhali
Kwanini upate taabu kutumia pesa yako mwenyeweMi nakunywa siku moja
View attachment 3625912
Kunywa mpaka figo na ini zipige keleleNakunywa acha tunywe boss
Nimeandika nikafuta
Atuambie kaziyake mana $345 uughaibuni... Tutakufwatilia tunamashaka na wewe.😂Dogo hivi unafanya kazi gani ? Maana hapana 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Pesa ndefu wakati wengine tunalala njaa wana JF wenzioKwaniniiii