Mambo yameanza huku nianze kukera watu karibu tunywe kuna warembo kama wote yani

Kuna msemo wa kiswahili dunia tambara bovu hivyo unavyo kanyaga ardhi ya dunia kanyaga kwa tahadhari sana.
Lakini pia wakati si wa milele, nyakati za heri mwambata wake ni nyakati za shari.
Mkiwa hamna hela mnazingatia Methali za wahenga mamaee haha , mi Nakula bata kabla hata kitila hajafuata Mkumbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…