Mambo yameanza huku nianze kukera watu karibu tunywe kuna warembo kama wote yani

Asante sana na haiondoi ukweli kwamba huna kitu kwenye account weka Mpesa nikupe kakitu
Kitendo cha kuhisi una uwezo kuliko yeyote aliye comment kwenye thread yako hadi umrushie Mpesa ndo ushamba na ulimbukeni wenyewe, wenye dollar za kutosha hawashindi jamii forums kutafuta attention. Aidha huna pesa kweli au limbukeni au vyote kwa pamoja.
 
Punguza machukizo.
 
Au niwekee Mimi mmpesa nije nimthibitishie kuwa hiyo bill hapo juu ni kweli na sio ya A I 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…