Kifurukutu
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 4,641
- 6,694
Kiongozi Kifurukutu Betting na nyeto ni kitu kingine kabisa, vitoe kwa hii list ya kuharibu vijanaKizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini
°Ulevi wa pombe
°Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya
°Ngono zembe na umalaya wa kumiliki wanawake wengi
°Kamari na betting
°Ushabiki wa mipira simba na yanga
°Video za ngono {×}
°Kupiga nyeto
° kampani mbaya za marafiki
°Kujifanya mjanja wa kujaribu kila aina ya starehe
Vyote hivo sifanyi na sijafanikiwa….Kizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini
°Ulevi wa pombe
°Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya
°Ngono zembe na umalaya wa kumiliki wanawake wengi
°Kamari na betting
°Ushabiki wa mipira simba na yanga
°Video za ngono {×}
°Kupiga nyeto
° kampani mbaya za marafiki
°Kujifanya mjanja wa kujaribu kila aina ya starehe
Nakuona mwanachama wa CHAPUTAKiongozi Kifurukutu Betting na nyeto ni kitu kingine kabisa, vitoe kwa hii list ya kuharibu vijana
Siri ya utajiri imelala hapo.Nakuona mwanachama wa CHAPUTA
dronedrakeSiri ya utajiri imelala hapo.
Huyu ndo nilikua namtafutamatatizo yenyewe mnayaacha mnaandika visivyo oya utajir ni sir sana wachache tunaujua njoo pm niku connect kwa mtaalamu jogoo anakula punje 60 unakuwa tajir miaka 60
Miaka 60 kila mtu angekimbilia hukomatatizo yenyewe mnayaacha mnaandika visivyo oya utajir ni sir sana wachache tunaujua njoo pm niku connect kwa mtaalamu jogoo anakula punje 60 unakuwa tajir miaka 60
kampani mbaya za marafikiKizazi hiki kinakutana na changamoto nyingi lakini yafuatayo ni mambo machache yanayoharibu maisha ya vijana wengi hapa nchini
°Ulevi wa pombe
°Uvutaji sigara, bange na dawa za kulevya
°Ngono zembe na umalaya wa kumiliki wanawake wengi
°Kamari na betting
°Ushabiki wa mipira simba na yanga
°Video za ngono {×}
°Kupiga nyeto
° kampani mbaya za marafiki
°Kujifanya mjanja wa kujaribu kila aina ya starehe
Hii itoe hapo°Kupiga nyeto