Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
mume anashindwa kujifulia nguo zake za ndani mpaka beki 3 amfulie?
mke akisafiri au akiwa anaumwa ndo ampe beki 3?
siyo lazima mimi nimfulie mume nguo zake za ndani.... kwamba mwenyewe hawezi?
kabla hajaoa alikuwa anavaa chafu au alikuwa anafuliwa na mama/dadake?
kama alikuwa anajifulia sasa anashindwa nini kufua akiwa ameoa?
nitamfulia kimapenzi tu, naye pia anaweza kunifulia maana hata mimi hayo mapenzi nayataka
rafiki, unaumwa huu ugonjwa?Mkuu MziziMkavu nini tiba yake?
majukumu yanapomuelemea, siyo kila siku.....Hata bibilia inakili waziwazi kuwa kijakazi atamsaidia mama mwenyenyumba pindi majukumu yanapo muelemea
Kaka tena tamaa za kijinga? Mwanaume mzima bila sababu za msingi anaanza kuufikiria uanamke wa hg?
Mke ni zaidi ya kufua na kukuwekea maji ya kuoga aisee...
majukumu yanapomuelemea, siyo kila siku.....
rafiki, unaumwa huu ugonjwa?
kuna majukumu hayasaidiliki......Kwani hata baba mwenye nyumba anapozidiwa na kiu ya ngono na anataka kijakazi amsaidie pale tu mama mwenye nyumba kuna kosa gani hapo?
kifungu cha uchoyo nakijua rafiki.....Mi huu ugonjwa haunihusu nawasaidia wale walio fungwa na kifungu cha uchoyo unakijua?.....
kwani kila mwanaume anapenda wanawake walionona?HG anapo nona kuliko mama mwenye nyumba na anakuwa amejaa matishititi kuliko mama mwenye nyumba hili unalizungumziaje?
kwani kila mwanaume anapenda wanawake walionona?
uzuri wamama wenye nyumba tunajitahidi sana kwenda na style ambayo wababa wanapenda....
kama mume anapenda aliyenona, nami nitanona. kama anapenda mifupa basi nitakuwa mifupa....
sasa kama anapenda asiyenona na ukawa na hg aliyenona si unakuwa umepiga bingo?
Ni kweli.wanaume wengine, hata wasipopata huduma hii lazima watakandamiza hausigeli kutokana na tabia zao.Chimbuko la yote ni TAMAA wala tusiandike sana.
bora umesema tulio wengi, siyo wote........Amini nakwambia FP wamama mlio wengi mkisha olewa basi kila kitu mnastaafu amini na kwambia
haya nitawasubiri.....
Hapa tunaongelea ****** au uchoyo wa tam tam au inakuaje!!
@FP, I am the MOMENT, take me and make me perfect!haya nitawasubiri.....
najua angalau nusu ya hao watatokea hapa
Hahahahahah!!!!!!!!!A woman of principles.Imagine unamkuta mumeo amepinda mgongo anafua chupi ya hausigeli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!mume anashindwa kujifulia nguo zake za ndani mpaka beki 3 amfulie?
mke akisafiri au akiwa anaumwa ndo ampe beki 3?
siyo lazima mimi nimfulie mume nguo zake za ndani.... kwamba mwenyewe hawezi?
kabla hajaoa alikuwa anavaa chafu au alikuwa anafuliwa na mama/dadake?
kama alikuwa anajifulia sasa anashindwa nini kufua akiwa ameoa?
nitamfulia kimapenzi tu, naye pia anaweza kunifulia maana hata mimi hayo mapenzi nayataka