Mambo yanayochangia mume kutembea na hausigeli

Mimi mbona hg wangu ana piga tight za nguvu na an mvuto kinoma?????

Mna uhakika kuwa hao wanaomimbishwa wana mvuto????

House girl nae ni mtu kama anataka kwenda na wakati umlazimishe kuvaa magunia eti kisa alizaliwa kwenye familia fukara wewe ukamuajiri kuwa hg....acheni hizo....

Malaya ni malaya tu atapiga hata hg wa jirani...kuweni na amani msijitie roho mbaya kisa mnalinda mume...kunguru hafugiki
 
Kama hizi comment zako zinafanana na maisha unayoishi.Then you are unique
ha haaaa, I hope this is a compliment...... Thanx in advance
kiukweli huwa siandiki kitu ambacho sifanyi..... I am so real......
kama kuna mtu ananifahamu (kiuhalisia) na anafwatilia comments zangu ni rahisi sana kunigundua
 
HG anapo nona kuliko mama mwenye nyumba na anakuwa amejaa matishititi kuliko mama mwenye nyumba hili unalizungumziaje?

Unafikiri inshu ni kunona au kuto-kunona au hayo matishtiti uliyosema? Problem tu ni pale unapoanza kuutafakari umwanamke wa hg wako, hata akiwa mbaya unaweza jikuta ushampanda. Inshu hapa ni tamaa tu za kijinga, kwani akikuwekea maji ya moto ndo unahisi nae atakuwa hivyo hivyo ndo uanze kumtamani? Au hicho ni kisingizio tu kisichokuwa na mantiki yyt?

Natamani mtu anifafanulie uhusiano kati ya maji ya kuoga, kufua, kupika na tamaa za ngono.
 
House girl nae ni mtu kama anataka kwenda na wakati umlazimishe kuvaa magunia eti kisa alizaliwa kwenye familia fukara wewe ukamuajiri kuwa hg....acheni hizo....

Umenikumbusha kuna mama mmoja wiki iliyopita nilimsikia kwa masikio yangu akimgombeza hg marufuku kukatiza machoni mwa mmewe
 
Mimi mbona hg wangu ana piga tight za nguvu na an mvuto kinoma?????

Mna uhakika kuwa hao wanaomimbishwa wana mvuto????

House girl nae ni mtu kama anataka kwenda na wakati umlazimishe kuvaa magunia eti kisa alizaliwa kwenye familia fukara wewe ukamuajiri kuwa hg....acheni hizo....

Malaya ni malaya tu atapiga hata hg wa jirani...kuweni na amani msijitie roho mbaya kisa mnalinda mume...kunguru hafugiki
kuna kipindi tulihamia mkoa fulani, majirani zangu hawakujua kama mdada niliyekuwa nakaa naye ni hg, walidhani ni mdogo wangu tu ambaye alikuja kunisaidia. kabinti kalikuwa bomba halafu kanavalia balaa. kikubwa kalikuwa na heshima saaaana mtaani. wamama wengi sana wakawa wanakapenda sana.
siku walipokuja kujua ni hg walinishangaa sana naishije na hg kidesign ile......
 
Ni roho mbaya tu mi naita. Mimi napiga tight navaa mini...hg binti kigoli nimnyime uhuru wa mavazi kisa kijakazi yeye kwake jikoni inahuu...

Kwanza namuombea huyu binti nile naye apate mume na yeye awe na familia...akivaa gunia mume atapata???

Ma hg tuwachukulie kama wadogo zetu jamani...wanatutunzia watoto afu kutwa tukae kuwawazia vibaya. eti kupendeza ni dhambi????

Na ukichunuza haop wanaopinduliwa ndio hao hao wanaoweka masharti lukuki ndani.
Umenikumbusha kuna mama mmoja wiki iliyopita nilimsikia kwa masikio yangu akimgombeza hg marufuku kukatiza machoni mwa mmewe
 
Ni roho mbaya tu mi naita. Mimi napiga tight navaa mini...hg binti kigoli nimnyime uhuru wa mavazi kisa kijakazi yeye kwake jikoni inahuu...

Kwanza namuombea huyu binti nile naye apate mume na yeye awe na familia...akivaa gunia mume atapata???

Ma hg tuwachukulie kama wadogo zetu jamani...wanatutunzia watoto afu kutwa tukae kuwawazia vibaya. eti kupendeza ni dhambi????

Na ukichunuza haop wanaopinduliwa ndio hao hao wanaoweka masharti lukuki ndani.

Eti marufuku kama baba anafika hg awe anamkimbia baba kama simba akienda jikoni hg awe anamkimbia na kujificha
 
N huku ni kumdhalilisha mumeo kwamba labda ni ki.to.mbi sana.

Nina mke mwenzangu (mke wa shemeji yangu) ana hiyo tabia sana. unakuta anaanza kumfokea hg mbele ya mumewe kisa kwa nini aliomba ela ya sabuni kwa baba hakusubili yeye arudi....anasema kabisa nambieni mna uhusiano gani? Mume wake mwenyewe ngumi mkononi analishwa vibao faster mbele ya huyo hg...sasa nikimuangalia huyu mke mwenzangu sipati jibu sijuhi elimu ndogo au ni wivu...huoni soo kumshuhudia mtu uongo.

Unajua sie wanaume tungekuwa tuna akili kama za wanawake za kuwaza aidha naibiwa au mke wangu kicheche sasa hivi atakuwa wapi ingekuwa balaa sana, mtu akiamua kufanya kitu au uovu anafanya tu hata ukimzuia vp atafanya kwa njia anzo zijua yeye, tujenge misingi ya kuheshimiana na kuaminiana
 
N huku ni kumdhalilisha mumeo kwamba labda ni ki.to.mbi sana.

Nina mke mwenzangu (mke wa shemeji yangu) ana hiyo tabia sana. unakuta anaanza kumfokea hg mbele ya mumewe kisa kwa nini aliomba ela ya sabuni kwa baba hakusubili yeye arudi....anasema kabisa nambieni mna uhusiano gani? Mume wake mwenyewe ngumi mkononi analishwa vibao faster mbele ya huyo hg...sasa nikimuangalia huyu mke mwenzangu sipati jibu sijuhi elimu ndogo au ni wivu...huoni soo kumshuhudia mtu uongo.
mi naona ni kutojiamini.......
sipati picha hg kila akikumbuka vibao anavyoshikwa na kicheko, lol!
kwa hiyo kama kitu kimeisha na wewe haupo hg asimamishe kazi zoote akusubiri wewe wakati baba yupo?
 
Mama mwenye nyumba ndiye katoa maelezo hayo hg anapaswa kuto onekana machoni mwa baba mwenye nyumba asije akamega
ha haaaa, sipati picha....
kwa hiyo baba akifika straight chumbani?
kama anakaa sebuleni hg atamkimbiaje? akae jikoni tu?
na akitaka kufanya kazi ambazo itabidi apite kwa sebule!:A S 39:
 
Yani nakwambia huyu mama ni full wasiwasi hajawahi kukaa na hg miezi sita...anafukuza kwenda mbele; na ana bahati ya kuwapata bila shida.

Back
Top Bottom