ndugu zangu, kitendo cha mke kumruhusu hausigeli amfulie mumewe nguo zake za ndani, amuandalie chakula, ampelekee maji ya kuoga na mambo mengine kama hayo ndivyo vimekuwa vikichochea usaliti huu. mzizi, hizo sababu nilizo-highlight hapo juu sijawahi kukubaliana nazo na sitegemei kubadilisha huo msimamo kwa sababu sio sababu za msingi. Ni kweli si sawa kwa housegirl kukufulia nguo zako za ndani, lakini inakuwaje mwanaume uache shuguhli za msingi na kuanza kufatilia nani anaefua nguo zako? Je, kwa yeye kufua kunaamsha vipi hisia zako za mapenzi? Akikuwekea maji bafuni (lazima itakuwa bafu za nje) hilo linachangia vp? Unajua kuna watu hawarudii nguo za ndani (so hamna kufua), wanatumia washing machines na bado hg anapigwa kawaida?