Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
mume anashindwa kujifulia nguo zake za ndani mpaka beki 3 amfulie?
mke akisafiri au akiwa anaumwa ndo ampe beki 3?
siyo lazima mimi nimfulie mume nguo zake za ndani.... kwamba mwenyewe hawezi?
kabla hajaoa alikuwa anavaa chafu au alikuwa anafuliwa na mama/dadake?
kama alikuwa anajifulia sasa anashindwa nini kufua akiwa ameoa?
nitamfulia kimapenzi tu, naye pia anaweza kunifulia maana hata mimi hayo mapenzi nayataka