Hapa tunaongelea ****** au uchoyo wa tam tam au inakuaje!!
Naomba samare kwanza.......hic...hic...!!!
fasten your belt..........@FP, I am the MOMENT, take me and make me perfect!
haya nitawasubiri.....
najua angalau nusu ya hao watatokea hapa
A woman of principleskwani kila mwanaume anapenda wanawake walionona?
uzuri wamama wenye nyumba tunajitahidi sana kwenda na style ambayo wababa wanapenda....
kama mume anapenda aliyenona, nami nitanona. kama anapenda mifupa basi nitakuwa mifupa....
sasa kama anapenda asiyenona na ukawa na hg aliyenona si unakuwa umepiga bingo?
ha haaaa, ntaenda kumchukulia na zangu ingawa nina uhakika zore zitakuwa safi lakini arudie tu kuzifua, lol!Hahahahahah!!!!!!!!!A woman of principles.Imagine unamkuta mumeo amepinda mgongo anafua chupi ya hausigeli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Hahahahaa....Mpwa bana!!Hapa tunazungumzia uchoyo eti akikabidhiwa basi ale peke yake pasipo mwenzake kuhudumia na wengine wenye uhitaji maalumu
yes, I amA woman of principles
Its Friday......ready all the way!!!fasten your belt..........
let me know when you are ready...... sawa?
Mambo mengine huwezi kuzia ila unaweza kupunguza
1. Kwanini uchukue beki tatu Bomba Mbayaaa! Kisu cha Hatari jishepu kama Agness Masogange afu utegemee Mumeo asisababishe! Aaaaaah wappi! Ukimkabidhi Fisi bucha hata kama kashiba kuonja sunna. Chuku dada pande la mtu, mweusi tiii, Nido saa kumi jioni. Hata Hubby akimuona tu ANAREPEL! automatically.
2. Ndumbaaaaaaa! Mabeki tatu wengi sanaa wanatumia kiringe kuchukua waume za watu, akipika lazima atie black science kidogo. Utatupiwa virago hivi hivi unajiona. Au kila siku ugomvi hauishi mumeo, kitu cha Nuksi hicho ushatupiwa na beki tatu.
3.Mavazi unayomruhusu beki 3 wako. Yaani unamuachia kabisaa beki 3 apige tight, mara pensi, mara mini, inaonesha umesahau seein is believing! Hubby akiona ule mpaja umenona nona lazima abelieve there is more in there! Apige sketi za marindaaaa na tshirt.
4. Mazoea na mumeo! Yaani unaruhusu kabisa wakae wapige story, eti hela ya matumizi amuombe mumeo we mama upo tu, Alaaaaaaaaa! Humo humo kunako mazoea anachakachuaamo!
All in all kikulacho ki nguoni mwako! Na asilimia kubwa sanaa ya wanaume ni n.y.o.k.o (Take it as a compliment) vibayaaa mno, wako rijali kweli kweli! So kumfuga beki tatu bombaaa kakuzidi, afu unamruhusu apige vicataloge, afu ukete maza house gangstar mwenzio full kujicream, udi na nini lazima Mapinduzi bubu yatokee!
Nae pi mwanamke atii, she got same needs as you the wifey!!!!!!!!!!!
All im sayin is dont patronise with the enemy! You better give her prior notice that jst incase you sense she is double crossin you somebody will surely get shot! And it aint your dear husband!
Natoa stress za ****** bana!Mmoja huyo hapo umemwona?
asante kwa kuwashtua rafiki...Mmoja huyo hapo umemwona?
asante kwa kuwashtua rafiki...
nimemwona... ila anataka kwanza amekiwe pafekti
ndo namsubiri aniambie akiwa tayari
great!Its Friday......ready all the way!!!
Nimesema hivyo kwa sababu sio kila hausigeli ni hausigeli kweli.wengine wanaingia ndani ya nyuma kufanya mapinduzi wabaki wao.Expect anything from an ambitious housegirlha haaaa, ntaenda kumchukulia na zangu ingawa nina uhakika zore zitakuwa safi lakini arudie tu kuzifua, lol!
umeona eeeh!hapo kwa red, wako baadhi ya wanaume hizo ndio hobi zao ati!
Nimefumba macho...nimehisi kuguswa..great!
close your eyes........
ukihisi umeguswa basi ujue Roho Mtakatifu anakushukia.....
uanze kunena kwa lugha, sawa?
cc. Asprin
Kama hizi comment zako zinafanana na maisha unayoishi.Then you are uniqueyes, I am
huu nilishaupitia.....Wakati ukiendelea kumsubiri naomba uendelee kupitia hapa https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/74655-zijue-sheria-mama-za-infidelity.html
usihofu.....Nimefumba macho...nimehisi kuguswa..
Tatizo ni kwamba sidhani kama Roho Mtakatifu anaweza kunigusa 'palipoguswa'
Weird.....right?
Come this way!
huu nilishaupitia.....
rules zimetulia sana
ila mimi sikujiunga na chama ndo maana bado nina vielement vya uchoyo