Mambo yanayochangia mume kutembea na hausigeli

Mambo yanayochangia mume kutembea na hausigeli

kwani kila mwanaume anapenda wanawake walionona?
uzuri wamama wenye nyumba tunajitahidi sana kwenda na style ambayo wababa wanapenda....
kama mume anapenda aliyenona, nami nitanona. kama anapenda mifupa basi nitakuwa mifupa....
sasa kama anapenda asiyenona na ukawa na hg aliyenona si unakuwa umepiga bingo?
A woman of principles
 
Hahahahahah!!!!!!!!!A woman of principles.Imagine unamkuta mumeo amepinda mgongo anafua chupi ya hausigeli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
ha haaaa, ntaenda kumchukulia na zangu ingawa nina uhakika zore zitakuwa safi lakini arudie tu kuzifua, lol!
 
Mambo mengine huwezi kuzia ila unaweza kupunguza

1. Kwanini uchukue beki tatu Bomba Mbayaaa! Kisu cha Hatari jishepu kama Agness Masogange afu utegemee Mumeo asisababishe! Aaaaaah wappi! Ukimkabidhi Fisi bucha hata kama kashiba kuonja sunna. Chuku dada pande la mtu, mweusi tiii, Nido saa kumi jioni. Hata Hubby akimuona tu ANAREPEL! automatically.
2. Ndumbaaaaaaa! Mabeki tatu wengi sanaa wanatumia kiringe kuchukua waume za watu, akipika lazima atie black science kidogo. Utatupiwa virago hivi hivi unajiona. Au kila siku ugomvi hauishi mumeo, kitu cha Nuksi hicho ushatupiwa na beki tatu.

3.Mavazi unayomruhusu beki 3 wako. Yaani unamuachia kabisaa beki 3 apige tight, mara pensi, mara mini, inaonesha umesahau seein is believing! Hubby akiona ule mpaja umenona nona lazima abelieve there is more in there! Apige sketi za marindaaaa na tshirt.

4. Mazoea na mumeo! Yaani unaruhusu kabisa wakae wapige story, eti hela ya matumizi amuombe mumeo we mama upo tu, Alaaaaaaaaa! Humo humo kunako mazoea anachakachuaamo!


All in all kikulacho ki nguoni mwako! Na asilimia kubwa sanaa ya wanaume ni n.y.o.k.o (Take it as a compliment) vibayaaa mno, wako rijali kweli kweli! So kumfuga beki tatu bombaaa kakuzidi, afu unamruhusu apige vicataloge, afu ukete maza house gangstar mwenzio full kujicream, udi na nini lazima Mapinduzi bubu yatokee!

Nae pi mwanamke atii, she got same needs as you the wifey!!!!!!!!!!!

All im sayin is dont patronise with the enemy! You better give her prior notice that jst incase you sense she is double crossin you somebody will surely get shot! And it aint your dear husband!

hapo kwa red, wako baadhi ya wanaume hizo ndio hobi zao ati!
 
hapo kwa red, wako baadhi ya wanaume hizo ndio hobi zao ati!
umeona eeeh!
watu tunashindwa kuelewa interest za wengine.....
Mungu alipoumba watu wenye maumbo/rangi/kimo/nk.nk...... hakuwa mjinga....
alijua kila mtu anakubalika
kama wewe hupendi wembamba kuna ambao wanawazimikia
kama wewe hupendi wanene, wana watu wao
kama hupendi weupe kuna watu hawalali kwa ajili yao....
kama hupendi warefu kuna ambao hawasikii wala kuambiwa kuhusu wao.
ndo maana aliyeandika beauty is in the eye of beholder alikuwa na akili sana, na hicho ndo ambacho tunakiexperience
 
great!
close your eyes........
ukihisi umeguswa basi ujue Roho Mtakatifu anakushukia.....
uanze kunena kwa lugha, sawa?
cc. Asprin
Nimefumba macho...nimehisi kuguswa..
Tatizo ni kwamba sidhani kama Roho Mtakatifu anaweza kunigusa 'palipoguswa'

Weird.....right?
Come this way!
 
Nimefumba macho...nimehisi kuguswa..
Tatizo ni kwamba sidhani kama Roho Mtakatifu anaweza kunigusa 'palipoguswa'

Weird.....right?
Come this way!
usihofu.....
Roho Mtakatifu anaweza kukugusa sehemu yoyote...... endelea na mapambio na kunena......
 
Back
Top Bottom