Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau mnaofuatilia kikao cha NEC/CC cha CCM huko Dodoma hebu tupeni yanayoendelea huko. Wazee wetu waliokosa ubunge wanafikiriwa? Presha zikoje huko???
Mkuu sielewi hadi sasa hivi, umuhimu wa hizo kura za maoni? Pamoja na uhuru wa wananchi (japo kuzidiana kwa rushwa) kulichagua yule ambaye wanaona anafaa, sasa inakujaje tena kuanza kufikiria walioshindwa? Huu ni usanii wa wazi. Tena mbona hii ni kazi rahisi kwao, ni kuyachapisha matokea na kupitisha. Pengine yangebaki yale majimbo ambayo yana appeals.
dodoma wanachakachua kura za wapiga kura, bila shaka Mzee Malecela anaweza akarudishwa, na wale wakongwe kama kina karamagi, Masilingi , maana Chakachua yao si mchezo.
Wameyachoka hayo majimbo ya wakongwe?
Umuhimu wake ni kuvineemesha vyama vya siasa mbadala, eg CHADEMA!
Habari nilizozipata sasa hivi kwa njia ya msg ni kwamba jina la mpiganaji SELELI na Lembeli yamepitishwa. Wengine ni Dr. Wanyancha (sio mpiganaji). Mwangunga ametupwa na jina la Ng'humbi linarudi.
Hizo ndo nyepesi x 2

Duuuh haya sasa mambo yameanza kuwa mambo wajameni hiiii mashikoro magheni sasa.
Tupeni Dataz wakuuu
dodoma wanachakachua kura za wapiga kura, bila shaka Mzee Malecela anaweza akarudishwa, na wale wakongwe kama kina karamagi, Masilingi , maana Chakachua yao si mchezo.