Elections 2010 Mambo yanayoendelea kwenye kikao cha NEC Dodoma

Elections 2010 Mambo yanayoendelea kwenye kikao cha NEC Dodoma

kaburunye

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2010
Posts
672
Reaction score
79
Wadau mnaofuatilia kikao cha NEC/CC cha CCM huko Dodoma hebu tupeni yanayoendelea huko. Wazee wetu waliokosa ubunge wanafikiriwa? Presha zikoje huko???
 
Wadau mnaofuatilia kikao cha NEC/CC cha CCM huko Dodoma hebu tupeni yanayoendelea huko. Wazee wetu waliokosa ubunge wanafikiriwa? Presha zikoje huko???

Mkuu sielewi hadi sasa hivi, umuhimu wa hizo kura za maoni? Pamoja na uhuru wa wananchi (japo kuzidiana kwa rushwa) kulichagua yule ambaye wanaona anafaa, sasa inakujaje tena kuanza kufikiria walioshindwa? Huu ni usanii wa wazi. Tena mbona hii ni kazi rahisi kwao, ni kuyachapisha matokea na kupitisha. Pengine yangebaki yale majimbo ambayo yana appeals.

Umuhimu wake ni kuvineemesha vyama vya siasa mbadala, eg CHADEMA!
 
dodoma wanachakachua kura za wapiga kura, bila shaka Mzee Malecela anaweza akarudishwa, na wale wakongwe kama kina karamagi, Masilingi , maana Chakachua yao si mchezo.
 
dodoma wanachakachua kura za wapiga kura, bila shaka Mzee Malecela anaweza akarudishwa, na wale wakongwe kama kina karamagi, Masilingi , maana Chakachua yao si mchezo.

Wameyachoka hayo majimbo ya wakongwe?
 
Vita ya panzi ...........................wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
 
Nimemaliza longa na mtu Hapo Dom ananiambai wakuu bado wamebania ma file hakunakutoka mpaka sasa

Ila akanidokeza kuwa KIMBISA anahaha hapo Dodoma huku na kule vibarua vyote vimepotea na nasikia anaanza kuwadai watu walio muhaidi watamsaidia teh teh teh teh teh,
alikwenda na mkwala wa pesa? sasa jeuri ya pesa ndio madhara yaka hayo sasa amfuate Katibu wa wilaya dodoma wazamani(Mr. Mzuri na familia yake) aliye fukuzwa usiku usiku na makamba kwenda morogoro kwa kuonyesha wazi kuwa alikuwa aki support Kimbisa Camp na kutoa maneno ya kejeri ati "ulisha ona wapi mende anaangusha kabati" Mzuri alikuwa anamapungufu mengi sana moja hakusimamia kwa umakini urudishwaji wa REJA (register) kutoka kwa matawi husika mpaka alipigiwa simu toka makao makuu Dar kuwa watu wanalalamika mbona kuna kata baadhi hazija rudisha REJA?? ndipo kukurupuka na kwenda kuya komba na kuyaleta officen kwake sas huyo alikuwa kweli anafuata kanuni za upigwaji kura za maoni katibu wa wilaya mzima huna ethics za utendaji kazi zako??? sikushangaa walivomtupa faster Morogoro, hakuwa makini na deadline ya kupokea REJA????
 
Umuhimu wake ni kuvineemesha vyama vya siasa mbadala, eg CHADEMA!

Mkuu mimi nadhani umuhimu wa zile kura za maoni ni kupima uwezo wa makatibu kwenye kuchakachua kura na pia ku-pretest PCCB

They say practice makes perfect na hapa tumeona kuchakachua na rushwa ziko kwenye practice
 
Habari nilizozipata sasa hivi kwa njia ya msg ni kwamba jina la mpiganaji SELELI na Lembeli yamepitishwa. Wengine ni Dr. Wanyancha (sio mpiganaji). Mwangunga ametupwa na jina la Ng'humbi linarudi.

Hizo ndo nyepesi x 2
 
Hivi kura za maoni zina maana gani jamani kama mtu aliyeshindwa anarudishwa? Basi na tufanye hivyo hivyo baada ya Oktoba 31, 2010 akishinda JK kwa mizengwe (kama ilivyo kawaida yao) tumtoe tumweke Dkt Slaa!
 
Habari nilizozipata sasa hivi kwa njia ya msg ni kwamba jina la mpiganaji SELELI na Lembeli yamepitishwa. Wengine ni Dr. Wanyancha (sio mpiganaji). Mwangunga ametupwa na jina la Ng'humbi linarudi.

Hizo ndo nyepesi x 2

Duuuh haya sasa mambo yameanza kuwa mambo wajameni hiiii mashikoro magheni sasa.

Tupeni Dataz wakuuu

Siamini chochote mpaka watoe tamko.... yasije yakawa yale ya sumu alizokua anatulisha FMES hapa
 
SItaki kuamini kama shemsa Mwangunga,Aisha Kigoda,Magreth Sita na Mwantumu mahiza safari yao ya kujibu maswali ya nyongeza imeishia hapa!CONFIRMED
halafu huyu mama aliyepewa ubunge wa kuteuliwa mwanzoni mwa mwaka Janeth MBENE atakuwa amevunja rikodi kwa kuwa mbunge kwa muda mfupi kuliko wote,manake aligombea viti maalum NGO akachemka.
Ila tumwombe JK sasa amteue SHYROSE Kuwa mbunge wa kuteuliwa kwani ameshagombea nafasi nyingi kwenye chama tawala bila mafanikio.
 
dodoma wanachakachua kura za wapiga kura, bila shaka Mzee Malecela anaweza akarudishwa, na wale wakongwe kama kina karamagi, Masilingi , maana Chakachua yao si mchezo.

wakumbuke kilichowapata ccm mkoa wa mbeya mwaka 1995, pale nccr-Mageuzi iliposhinda mara
baada mgombea yule ambaye wanachi walikuwa wakimhitaji Mzee O.B.Mwamfupe sasa marehemu RIP,
kuenguliwa kwa hujuma zile zile za ccm kumweka mgombea wanayemtaka wao B.Mpangala naye Marehemu RIP, na kuwafanya wana nchi kukipa ushindi wa kishindo chama cha nccr-Mageuzi kwa mgombea wake Bwana Policia Mwaiseje
 
:welcome::mad2: CCM mwaka huu lazima wajifunze kutokana na makosa yao kwa sasa wananhi wengi wameshituka saana
 
Back
Top Bottom