Mambo yanayonikasirisha Kanisani

Mi naona kama mtu anaona matangazo mengi, au ibada inachukua mda mwingi heri asiende.. mana hakuna anaelazimisha tusiende tu kwa sababu Mungu asijiskie vibaya/ oh Mungu ananiona /oh nikifa nisizikwe kama mbwa nk

Yani tusiishi kwa mazoea! Ukienda kanisani nenda na moyo wote... ibada ni zaidi ya mahudhurio jamani.... Kama kweli juma2 ni siku ya kupumzika na siku ya ibada , Basi Shika kitakatifu siku ya Mungu.
 
Sasa hawa watu lazima waambiwe ukweli, matangazo ya nafasi za masomo au mikutano inauhusiano gani na ibada? Waweke kwenye mbao za matangazo
 
Maswali mengne huwa yanatokana na kile kilicho hubiriwa. Sasa hapo nimeona upotoshaji kwenye mahubiri ya jumapili nikae nisubiri hadi ijumaa?
 
Maswali mengne huwa yanatokana na kile kilicho hubiriwa. Sasa hapo nimeona upotoshaji kwenye mahubiri ya jumapili nikae nisubiri hadi ijumaa?
Hili lazima lifanyiwe kazi, mapadre waache ubabaishaji, wajiandae na watoe nondo zenye akili
 
Naomba nikuulize kidogo kuhusu kikwazo chako: Wewe uliwezaje kuona kwamba wengi wa wanaokuangalia mwanzo mwisho ni wanawake?
 
Acha kwenda kanisani. Hujalazimisgwa bosi.
 
Naomba nikuulize kidogo kuhusu kikwazo chako: Wewe uliwezaje kuona kwamba wengi wa wanaokuangalia mwanzo mwisho ni wanawake?
Kanisa naposali muundo wake ni kama tumejigawa wanaume na wanawake upande tofauti. So ukigeuka unakutana na sura zao wote wanakuangalia. And 60% ya waumini kanisani lolote lile hua ni wanawake. That's The reason!
Siku moja sali kanisa hili, utaelewa nachosema
Roho mtakatifu Ngarenaro.

Au hili la bikira maria mshindaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…