Mambo yanayonikasirisha Kanisani

Mi nimeachana na kwenda kanisani na nina amani utafikili nimetolewa mashetani kichwani
 
Me kero yangu ni kuona mtu amefunga Safari kutoka kwao kwenda kanisani na nguo zinazobana makalio hatari, mwishowe kutufanya wanaume kutenda dhambi kwa kuwaza.

Wito wangu, kanisani watu wavae kwa heshima ikiwa ni ishara wamehudhuria sehemu takatifu.
 
I second
 
Pole sana Mkuu. Jaribu kuzingatia ushauri huu. Unapokuwa mbele ya kadamnasi (audience) usiwatazame watu usoni/machoni. Lengesha macho yako mbele kupita juu ya vichwa vyao. Hakika hutatetereka, kuudhika au kubabaika/shida katika mwondoko wa miguu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…