Mambo yanayopelekea watu wengi kushindwa kuishi kwa ndugu au ukweni na baadaye kutimuliwa

Shemeji ni kama ndugu taratibu za kufuata ni zile zile amka mapema osha vyombo,fua nguo za shemeji yaani kuwa mpole na mwenye heshima usitake kuleta ubishi ooh siwezi fua nguo za shemeji itaku cost bro!

Pamoja na hayo mkuu kama unaishi kwa mume wa dada yako inabidi uende mbali zaidi. Mfano ukisikia wanagombana usiku wewe inabidi uzame kwenye maombi kumuombea dada yako Mungu ampe moyo wa uvumilivu maana mfano ndio umuone anaanza kutoa mabegi sijui wewe utakua katika hali gani?
 
Kuishi sehemu tofauti na kwenu(kwa wazazi wako) ama kwako ni mateso sana japo watu wa nje hawawezi tambua
 
Mimi bwana kwakuwa huwa napenda uhuru, ninaepuka sana kukaa kwa watu. Ninapenda kuwa huru, nirudi home muda ninaotaka,nile ninachotaka, niamke muda ninaotaka, nidinye demu wangu kwa mastaili na muda ninaoutaka n.k. Sasa ukiwa kwa mtu hasa majumba yetu ya uswazi, mastaili kama popo kanyea mbingu, kupanda dirishani na kuiangukia si balaa hilo? Utasababisha hata chabo.
 
Dah aisee ukute shemeji mwenyewe ka mimi Mzee Wa tungi,nikipiga makonyagi yangu nasimamia show hatari,kesho asubuhi sijui mtaangaliana Vipi na dadako.

Kwa shemeji sio sehemu salama kuishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…