Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 9,758
- 18,431
Pamoja na hayo mkuu kama unaishi kwa mume wa dada yako inabidi uende mbali zaidi. Mfano ukisikia wanagombana usiku wewe inabidi uzame kwenye maombi kumuombea dada yako Mungu ampe moyo wa uvumilivu maana mfano ndio umuone anaanza kutoa mabegi sijui wewe utakua katika hali gani?
Utabaki unauliza "sasa dada ndio unaondokaa!?" [emoji23][emoji23][emoji23]