Mambo yanayopelekea watu wengi kushindwa kuishi kwa ndugu au ukweni na baadaye kutimuliwa

Dah aisee ukute shemeji mwenyewe ka mimi Mzee Wa tungi,nikipiga makonyagi yangu nasimamia show hatari,kesho asubuhi sijui mtaangaliana Vipi na dadako.

Kwa shemeji sio sehemu salama kuishi.

Niseme ukweli mi nimewahi kuishi kwa shemeji yangu kama mwezi hivi. Ni kwamba nilikua nimepata kazi mkoa ambao wao wanaishi na sikua na pa kufikia. Aisee niliishi pale kwa huzuni sana. Mshahara wa kwanza nikanunua godoro tu, na kulipa kodi ya chumba nikahama!
 
6. Majungu na uchonganishi kutunga maneno ya umbea kwa ndugu jamaa majirani mradi kupaka matope wanaokjsitiri

7. Dharau kwa mama mwenye mji...hii wanayo ndugu wa mume...kujifanya wao ndio wamiliki na wenye maamuzi

8. Kuharibu wasichana wa kazi na kuwatia kiburi....


9. Uvivuuuuuuuuuuuuu husaidii hata kufagia uwanja!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hayo ndo yalinikela pale nilipoishi kwa dadangu so Kila siku bwana shemj anaamka amejifunga taulo najua tu hapa Dada kashugulikiwa kweli[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sijui ni kwanini ni rahisi sana kwa mtoto wa kike kuishi kwa kaka yako na mkewe, ila ni ngumu mno kwa mtoto wa kiume kuishi kwa dada na mumewe 😀
 
Tusiende mbali kwanza unaanzaje kuishi ukweni... Seriously!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi mkuu,hapa naona wanaongelewa wale wanaolikita kwa Shem kwa.maana ya kwenda kuishi hapo.
 
Hivi mwanaume mzima na makend yake kweli anaweza kukaa ukweni na kuishi huko kabisa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani ni lazima mpaka upande dirishani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilikjwaje mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…