Mambo yanayothibitisha ushamba wa Mwanaume mwenye miaka 30-45

Kwani Hii Dunia ni yako??(In Majanaba Voisi)
 
Ajabu kabisa ktk maelezo yako nimegundua wewe ndiyo mshamba
 
Namba 7 ndo ushamba wa kiwango ...Kuvaa sidhani maana kila watu Wana mfumo wa maisha yao .

Ila kujisifu Kwa namna yeyote ile kujiona upo juu ni ushamba
 
Hapa utakuwa unamsema Lemutuz
 
Kila kona makatazo. Nyumba za ibada makatazo, Serikalini makatazo, mitandaoni makatazo. Ni mwendo wa usifanye hili ni dhambi, usifanye lile ni ushamba, makatazo tu.
 
Kaa na watu wa rika lako,Mwanaume usikae mezani na wavulana,utawaona wa ajabu watakuona wa ajabu.
 
Mwanaume kukaa unaongelea mipira na ngumi sio Jambo la kujisifia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…