Mambo yanayowafanya wanawake wengi wasidumu kwenye mahusiano,wasizae,wasiolewe

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,853
Reaction score
4,503
Kuna viio vingi sana kwa wanawake kushindwa kudumu katika mahusiano,kushindwa kuolewa,na kushindwa kuzaa.

kushindwa kuolewa na kudumu katika mahusiano yaweza kusababishwa na mambo mengine pia kama tabia ya mtu lakini kwa kiasi kikubwa wengi chanzo ni spiritual attack.

Wapo wanaume ia ambao hawadumu kenye mahusiano,hawataki kusikia kuhusu suala la kuoa na hawdumu katika mahusiano lakini idadi yao ni ndogo ikilinganishwa na wanawake.

Kwa tafiti zangu nilizozifanya 80+% wanawake wengi wanaopitia hizo hali ni shambulio la kiroho ambalo chanzo chake ni hitoria za familia zao, na makosa mbalimbali waliyowahi kuwafanyia watu walio wahi kuwa na mahusiano na kuachana nao ili hali mwanamke ndiye mwenye makosa na hakuomba msamaha,akachukulia poa sababu mwanaume ali nyamaza.

Kuna familia ambazo zia maagano ya kiroho kwamba kuolewa ni kipengele na hata akiolewa hadumu kwenye ndoa,na kuna wengine kutongozwa ni kipengele na akitongozwa huyo mwanaume anaweza akamuacha kimya kmya hata kabla hajamla au akimla tu hawezi kurudi tena na sio kwamba mwanamke hana mvuto no,ni mrembo na ana vishawishi vyote kabisa.Hii wapo achache sana.

Wimbi kubwa la wanawake wnaopitia changamoto hizo chanzo kikubwa ni mahusiano yaliyopita ambayo kwa namna moja waliachana na wenza wao kwa kupaparika nakujiona ni warembo sana,hawakuweza kuzingatia hisia za wenza wao licha ya kwamba waliona kabisa mtu yule anahitajia kusamehewa au hakuwa na hatia ila aliamua kufanya tu kama kumkomoa.

Hii inawatokea sna wanawake wakiwa na umri kuanzia miaka 18-30,maana katika kipidi hicho huwa wanaonekana ni wenye kuvutia na kuhitajika na kila mwanaume hivyo kujiona yeye ndiye.

Sasa inapotokea sintoahamu kama hii na mwanaum kaumia kupiata maelezo na amejaribu kutafuta suluhu lakini mwanamke akatia ngumu sababu ni most wanted,then kinachofanyika mwanaume anatafuta njia yakuponya maumivu yake amabayo ni kufanya spiritual attack,mashambulio hayo ni mengi lakini mepesi ni 3 ndio yakawida,haya mengine magumu sana maana ni kuua kabisa.

1.kubleed sana na kwa muda mrefu.
2.Kufanya mwanamke asidumu kwenye mausiano.
3.Kufanya mwanmke Asiolewe na akiolewa hadumu kwenye ndoa.
4.Kuto zaa

KUBLEED SANA.
Hii ni fimbo ambayo inatumiwa,lakini kwa lengo la kushikisha adabu tu maana ni rahisi kushituka ,kupigwa na hili janga ni bei chee sanaa ila kulitoa sasa ndio gharama sana,hapa mwanamke anamwaga damu kwelikweli na anaumwa,kila akienda hospitalwanamwambia ni mabadiriko ya kawaida ya mwili.,hata akienda kwa wataalam wanaweza kuona lakini wasije nani kafanya hivyo.Huwa inawanyima raha sana wanawake.

KUTOKUDUMU KWENYE MAHUSIANO.
Hii utumiwa sana kwa sababu wengi hawazingatii,kinachofanyika mwanamke anafanyika kuwa hit and run,mwanaume yoyote atakaye lala nae harudi tena,na hawezi umtafuta hata kwa bahati mbaya,hivyo mwanamke huwa ni mtu wakubadiri tu wanaume kama nguo ,wanagongwa na kuachwa

Wengi wao huna ni suala la kawaida tu hivyo wana relax.

KUTOKUOLEWA AMA KUDUMU KWENYE NDOA.
Hii mwanamke hawezi kuolewa kabisa,na hata ikitokea kama bahati akaolewa hawezi kudumu wenye hiyo ndoa ana achika.

katika yote haya kinachofanyika mwanamke anatupwa jini mahaba ambalo linasababisha yote hayo,na kulitoa ni kipengele sana mapa upate mtaalamu aliyekomaa,ama au imani yako isiyotetereka

ara nyingi mwanaume aliyefanya hivi akiama kumsamehe basi hiyo hali inatoweka kabisa.

Wanawake wengi mnao waona wanaangaika huko ni kwa sababu ya mapito ktk ujana wao,walikosa nidhamu,utuivu na kuwaumiza wenza wao kwa sababu nyepesi bila kuzingatia maumivu yao,walipojitenga nao waliona kama wamekubali yaishe kumbe wana kinyongo wameenda kulipa kisasi.

Hawa wanawake mnaowaona huko makanisani ukifuatilia wengi wao shida zina fanana na ni hizo 3 za mwisho halafu ni pisi za kwenda.

RAI YANGU.
Wnawake jithidini kukwepa kuwapa maumivu wenza wenu ambayo hawastahili,na ikitokea hivyo basi waombeni msamaha mapema muachane kwa amani sio kwa shari,utatafuta suluhu hutopata miaka kenda.
 
Mambo mengine ni kujitakia mwenyewe, unakubalije kutembea kila mwanaume kingono kabla ya ndoa na baada ya hapo anakuacha, anakuja mwingine naye anakukimbia... Bado unatafuta mchawi?
 
Scientifically no. Reality can be yes.
Ila tuchukue mfano wa mwanamke bikra kabisa na akawa na vifungo, je umefanya tafiti kuwa hawaolewi hata kama kwao kuna historia ya aina hiyo in terms of generation.
Nafikiri mwanamke bikra akiwa na tabia njema hawezi kosa mwanaume wa kumuoa.
Nakubaliana na wewe kuwa spiritual attacks inaweza sababisha ila mlango mkubwa ni kufanya ngono kabla ya wakati wake ikiwa pia spiritually kuna legal rights ya roho inayosimamia familia ikijaribu kuzuia usiolewe ila kupitia kosa la ngono kabla ya ndoa na kuvunjwa ubikra inatoa legal ground.
That's a spiritual view.
 
Nadhani hujaelewa muktadha wangu,tayari ni kifungo,na nimezungumzia hapo aina ya vifungo ambavyo hutokana na familia binafsi,soma tena utaelewa
 
Hivi wanawake wanaoijuza au makahaba huwa wanaolewa na kuacha ukahaba?

Kama kuna waliowahi makahaba mpo JF naomba mtupatie majibu.
 
Idadi ya wanaofanya ukahaba ni ndogo sana, na hawana chakupoteza,na wale wanaojiuza wapo protective sana si wote lakini,nani atamuumiza wakati wao wapio kibiashara na wanaowanunua wanajua kabisa,?haya huwakuta ambao hawafanyi hiyo biashara,hawa wanasumbuliwa na majini mahaba ambayo huketi mara nyingi kwa watu wachafu wa ngono,Ndio maana ukifuatilia Kwenye lundo la wanao lia hizo kasumba kuwakuta ambao walikuwa makahaba ni wakuhesabu sana ama usipate kabisa
 
Mkuu mbona maelezo yako, hayana majibu ya swali langu.
 
Back
Top Bottom