Mambo yanayowafanya wanawake wengi wasidumu kwenye mahusiano,wasizae,wasiolewe

Mambo yanayowafanya wanawake wengi wasidumu kwenye mahusiano,wasizae,wasiolewe

Kuachana is natural..

Mmoja lazima aumie ndio maana mkafikia tamati....la sivyo mngekuwa pamoja still..

Wachache sana huamua kuachana na kubaki kuwa marafiki....

Wanawake wana bleed, hawadumu kwenye ndoa kama waliumiza wapenzi wao....WANAUME JE? walioumiza wapenzi wao zamani wanapatwa na nini? Lol
 
Hebu tuwaache kidogo hawa - HAWA - WANAWAKE.....wanatupa utamu ujue.....duh... sikia tumeembiwa vema lazima kuwa na kipindi fulani cha kufahamiana, hili ni muhimu sana.....vijana wengi mna mihemko ya nyegere,,, kumiliki mke,,,,, mbunye.....mnasahau kuna maisha zaidi ya kityombo......na maisha yenyewe yanatakiwa utimamu wa wote wawili.....maswali ni mengi kuliko majibu.....wanawake siku hizi hisia zao ni pesa tuu, mwanaume ngono na life....ukweli ndio huo.....ghafla mahari then ndoano.....in three / 4 weeks..... Gudibai........ tusiache kuongea na vijana wetu......
 
Hivi wanawake wanaoijuza au makahaba huwa wanaolewa na kuacha ukahaba?

Kama kuna waliowahi makahaba mpo JF naomba mtupatie majibu.
Makahaba wanaolewa vizuri tu, tena wengi walioolewa na wazungu wamekutana kwenye ukahaba.

Ukahaba unatokana na hali ngumu ya maisha na siyo choice ya mwanamke, akipata malisho anaacha hiyo biashara.
 
Hivi wanawake wanaoijuza au makahaba huwa wanaolewa na kuacha ukahaba?

Kama kuna waliowahi makahaba mpo JF naomba mtupatie majibu.
Wap ila ni wachache,kuna visa viwili navifahamu,ni wale ambao walienda kufanya kwa sababu ya ugumu wa maisha kabla hawajawa addicted wakapata mtu huko huko kwenye kujiuza serious,wakaridhiana,na anaacha kabisa,wapo ambao wamesha kuwa adicted hata wakaolewa hawaachi.
 
Makahaba wanaolewa vizuri tu, tena wengi walioolewa na wazungu wamekutana kwenye ukahaba.

Ukahaba unatokana na hali ngumu ya maisha na siyo choice ya mwanamke, akipata malisho anaacha hiyo biashara.
angalau hii taariffa ya matumaini,.
 
Hawa hata wakibadilishiwa mazingira na wakawa na uhakika wa maisha kiuchumi, bado hawawezi kuacha ?
Inahitajika nguvu ya ziada kimwili na kiroho,wakienda sawa na miongozo wanabadirika kabisa na hawezi kurudi tena,na kuna wanaojiuza wanakazi nzuri,maisha si haba na wametoka familia nzuri si kwasababu za kiuchumi,so vingi vya uzingatiwa
 
Back
Top Bottom