Dr. Zaganza
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 1,814
- 2,738
1.��️ Uvutaji wa sigara
2.��️ Unywaji wa pombe
3.��️ Utumiaji wa vyakula au vinywaji vywenye Caffeine kama vile Kahawa,Chocolate, Soda nk
4.��️ Kula vyakula vyenye mafuta mengi/vyakula vilivyokaangwa
5.��️ Kula chakula kingi kupita kiasi ama kula usiku sana.
6.�� Kutumia baadhi ya Madawa kama vile ASPIRIN
7.��️ Ngiri ya kifua pia husababisha GERD lakin pia GERD huweza kisababisha Ngiri ya Kifua(Hiatal hernia)
8.��️ Kuwa Mjamzito
9.��️ Uzito kupita kiasi (Obesity)
10.��️ Matatzo ya mmeng'enyo wa chakula au kuchewa Kujisaidia pindi uhisipo haja kubwa.