Mambo yasiyoacha watu salama

Ukianzisha topiki ya kijinga, kipuuzi, na iliyojaa pumba na utumbo, mwanamalundi hatakuacha salama.
 
Kitokumwamini Yesu kuwa mwokozi hakujawahi kumwacha mtu Salama hata baada ya kufa!Nasubirii povuuuu
 
Kutoa ushuzi mbele ya wakwe hakujawahi kumuacha mtu salama, kama ulipanga ukae mwezi, kesho utaaga umeitwa kazini
 
Don't love [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40].. Ile siku niende bila ruhusa ulichonifanyaaaaaa mhmmhmhmhmhmhmhmh

Nakupendajee Smart911 wangu
[emoji23] [emoji23] alafu mimi naongea na nipo very pissed off... Alafu kale ka rafiki kako ka kike kanakutetea... Kilichomkuta... Hahaha... Mpaka akasema.. Samahani mtamalizana mwenyewe...

Ulikuwa unaniangalia tu ukitia huruma...
 
Uwiiiiiiiiiiii usinikumbushe aseeeh roho ilinidunda dunda nikasema mama weeeeee nafwaaa Smart911 ananiuaaa leo niiliogooopaaa
 
Kujifanya unajua sana kuliko wenzako wote humu Jf "hakutakuacha salama"
 
Uwiiiiiiiiiiii usinikumbushe aseeeh roho ilinidunda dunda nikasema mama weeeeee nafwaaa Smart911 ananiuaaa leo niiliogooopaaa
I really love your attitude though... Huna uwoga wa kizembe zembe... Kelele tunapiga wote, hata sometimes fujo tunazifanya pamoja... Kama mapacha vile...
 
Kunywa Pombe kupita kiasi, Daima hakukuachi Salama.
 
Kuendeleza mawasiliano na demu wako wa zamani....hutabaki salama maana lazima tu utamtafuna
Dah Topic imenichekesha sana Leo so punde nimepost mrembo mzuri kuliko x wangu bas x wangu kaja juu utadhani me bwanake afu kanafosi mawasiliano dah saa kufungua uzi nakuta hii comment nimecheka kwa watu kama chizi eti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…