Mambo yasiyoacha watu salama

Mambo yasiyoacha watu salama

😀Habari zenu wakuu,natumaini mna afya njema kabisa na tunaendelea vizuri na mfungo.

Sasa hapa naomba tutaje vitu vyote visivyoacha watu salama maana naona vimezidi sasa tuvimalizie hapa ili tuachane navyo.

Kwa kuanza,KUTOKUA MAKINI UKIENDESHA VIFAA VYA MOTO HAVIKUACHI SALAMA!!!!

Karibuni😀😀😀
kutumia choo cha ndotoni hauta kuwa salama
 
Utamu wa pesa hauchawahi kuacha akaunti salama.

Ref: Tegeta Escrow
 
House Girl/Boy.....

Mke/Mume wa mtu...

Madawa ya kulevya....

Vyeti Feki......

Masturbation.....
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] everywhere anywhere
 
Back
Top Bottom