Mambo yasiyoacha watu salama

Mambo yasiyoacha watu salama

Kumpa mimba mwanafunzi
Kudharau wazazi
Kunywa pombe nyingi jumapli
Bangi
Kulazimisha penzi kwa changu
Kupanda juu ya mzambarau
N.k
Hayo hayawezi kukuacha salama.
 
Ukileta uzembe kwenye issue za IPTL, amin amin nakuambia hutaamka jumapili ukiwa salama!
 
😀Habari zenu wakuu,natumaini mna afya njema kabisa na tunaendelea vizuri na mfungo.

Sasa hapa naomba tutaje vitu vyote visivyoacha watu salama maana naona vimezidi sasa tuvimalizie hapa ili tuachane navyo.

Kwa kuanza,KUTOKUA MAKINI UKIENDESHA VIFAA VYA MOTO HAVIKUACHI SALAMA!!!!

Karibuni😀😀😀
Mambo ya kichoko
 
FB_IMG_1496759247643.jpg
 
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] everywhere anywhere
hahaha
 
Kuoa mke mwenye mtoto afu hujui kama baba yupo au ashakufa hakujawa kumwacha mtu salama.
 
Back
Top Bottom