Mambo yasiyoacha watu salama

Mambo yasiyoacha watu salama

Kwa nini?

Maana hapa nimeambiwa hamna Sex mpaka nikimuoa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji134]
mkuu utauziwa gunia kweny mbuzi badala ya mbuzi kwenye gunia
 
Daah Kakaa sasa kama sina Demu Nafanyajee
Fanya tu utafute mkuu...ukiendekeza sana huo mchezo, nguvu za kiume zitapungua..jambo ambalo litafanya udharaulike kwa wanawake kwa sababu Urijali wako umepotea
 
Back
Top Bottom