Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC

Escotter20

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2020
Posts
505
Reaction score
960
Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC ✍️.

Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya kushinda) na kuna underdog (anayepewa nafasi ndogo ya kushinda).

Sasa ipo hivi, kutokana na muendelezo wa Young Africans kwenye michezo yote ya msimu huu yote ni story, ila kikubwa ni ile head to head ya Simba Vs Yanga (michezo iliyowakutanisha wenyewe kwa wenyewe).

Mchezo uliopita Yanga tuliibuka na ushindi wa Magoli Matano kwa moja dhidi ya Simba, sio magoli tu, kiwango cha mchezo hasa kwa wachezaji wa Yanga kilikuwa juu sana, hakuna aliyekuwa na rating ya chini ya 7.4 hii ina maana kwamba wachezaji wote wamefanya kila kitu uwanjani kwa wastani wa zaidi ya asilimia 70 kila mmoja.

Jambo la kwanza:
1. Yanga isipoheshimu mpinzani wake kutokana na hali anayopitia kwa sasa anapopata ugumu wa kupata matokeo, ukweli ni kwamba Simba hawachezi vibaya ila kwenye eneo la finishing ndo wameshindwa kuwa clinical.

Jambo la pili:
2. Yanga ikibadilisha mfumo wake, siku zote faida ya timu kuwa na mfumo ni kuipa timu balance na Chemistry (uzani na muunganiko) hivyo basi mfumo ukibadilika muunganiko utapotea na tutaadhibiwa.

Jambo la tatu:
3. Non-stop Attacking:
Namaanisha kuingia kwenye mchezo wachezaji wote wakiwa Attacking minded, yani wote wanawaza kushambulia tu, wote wanapanda tu, hii itaacha mianya mingi na tutafungwa kirahisi kwa counter attack.

Jambo la nne:
4. Over confidence (kujiamini kupitiliza)
Mechi tuliyowafunga Simba goli tano walijiamini kupitiliza na tukawaadhibu vibaya mno sasa wanasemaga "Karma is Real" tukifanya kama walivyofanya wao basi litatupata jambo.

Jambo la tano:
5. Yanga isipojituma itatucost, dunia nzima hata kama timu ni bora vipi kama haitajituma basi kupoteza itakuwa rahisi sana, tusahau yale matokeo yaliyopita wachezaji waipambanie nembo ya Club, mbali na hapo yatatokea kama Ya Yanga na Azam, walijituma mwishowe wakapata matokeo kupitia sisi ✍️

All in all kocha wetu ni mzoefu, naamini anayaelewa haya yote, naamini amejipanga kuja na falsafa na mipango mizuri ya kumchakaza mtani kwakuwa uwezo tunao.

Kingine, wameamua kuachana na mpira wameamua kuwa waongeaji sana tuachane nao hawa SIMBILIZI tar 20 is loading 🔥

Here we go Young Africans 🔰👊🏽
 
Attachments

  • FB_IMG_1713171363391.jpg
    FB_IMG_1713171363391.jpg
    45 KB · Views: 7
  • Screenshot_20240414-180719.png
    Screenshot_20240414-180719.png
    88.5 KB · Views: 7
Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC [emoji3578].

Kila mchezo unaohusisha timu mbili ndani ya uwanja kuna anayeingia kama favorite (anayepewa nafasi kubwa ya kushinda) na kuna underdog (anayepewa nafasi ndogo ya kushinda).

Sasa ipo hivi, kutokana na muendelezo wa Young Africans kwenye michezo yote ya msimu huu yote ni story, ila kikubwa ni ile head to head ya Simba Vs Yanga (michezo iliyowakutanisha wenyewe kwa wenyewe).

Mchezo uliopita Yanga tuliibuka na ushindi wa Magoli Matano kwa moja dhidi ya Simba, sio magoli tu, kiwango cha mchezo hasa kwa wachezaji wa Yanga kilikuwa juu sana, hakuna aliyekuwa na rating ya chini ya 7.4 hii ina maana kwamba wachezaji wote wamefanya kila kitu uwanjani kwa wastani wa zaidi ya asilimia 70 kila mmoja.

Jambo la kwanza:
1. Yanga isipoheshimu mpinzani wake kutokana na hali anayopitia kwa sasa anapopata ugumu wa kupata matokeo, ukweli ni kwamba Simba hawachezi vibaya ila kwenye eneo la finishing ndo wameshindwa kuwa clinical.

Jambo la pili:
2. Yanga ikibadilisha mfumo wake, siku zote faida ya timu kuwa na mfumo ni kuipa timu balance na Chemistry (uzani na muunganiko) hivyo basi mfumo ukibadilika muunganiko utapotea na tutaadhibiwa.

Jambo la tatu:
3. Non-stop Attacking:
Namaanisha kuingia kwenye mchezo wachezaji wote wakiwa Attacking minded, yani wote wanawaza kushambulia tu, wote wanapanda tu, hii itaacha mianya mingi na tutafungwa kirahisi kwa counter attack.

Jambo la nne:
4. Over confidence (kujiamini kupitiliza)
Mechi tuliyowafunga Simba goli tano walijiamini kupitiliza na tukawaadhibu vibaya mno sasa wanasemaga "Karma is Real" tukifanya kama walivyofanya wao basi litatupata jambo.

Jambo la tano:
5. Yanga isipojituma itatucost, dunia nzima hata kama timu ni bora vipi kama haitajituma basi kupoteza itakuwa rahisi sana, tusahau yale matokeo yaliyopita wachezaji waipambanie nembo ya Club, mbali na hapo yatatokea kama Ya Yanga na Azam, walijituma mwishowe wakapata matokeo kupitia sisi [emoji3578]

All in all kocha wetu ni mzoefu, naamini anayaelewa haya yote, naamini amejipanga kuja na falsafa na mipango mizuri ya kumchakaza mtani kwakuwa uwezo tunao.

Kingine, wameamua kuachana na mpira wameamua kuwa waongeaji sana tuachane nao hawa SIMBILIZI tar 20 is loading [emoji91]

Here we go Young Africans [emoji617][emoji1420]
nahisi umekula kiporo sasa mavi hayatoki
 
hata yanga wakicheza na wachezaji 10 wa u20 isipokuwa mdaka mishale tu, 5imba anapigwa. Hamna timu pale.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC
JamiiForums1683832807.jpg
 
Simba ina wachezaji wa kucheza counter attack? mara ya mwisho lini unaona 5imba anafunga goli la counter attack?
 
Back
Top Bottom