Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC

Mambo yatakayoifanya Young Africans kupoteza mchezo Ujao wa Derby dhidi ya Simba SC

Simba
1.Wanacheza mpira wa taratibu sana.
2. Hawana wachezaji wa kupress kwa kasi mpira mblele
3. Wanapenda sana kurudisha mipira Nyuma
4. Mabeki of wana tabia ya kupanda mbele wote wakishambulia. Ikipigwa caunta hali ni tete
5. Mabeki wa Simba mara kadhaa wanajisahau kuwakaba kwenye njia washambuliji waviziaji kama Dube.
6. Washambulia, mawinga wanapotezea wana pasi za mwisho.

Kwa dabi ijayo Yanga Wana asilimia 60 ya kushinda mchezo.
 
Back
Top Bottom