Kushinda mchezo wa World cup na siyo world cupHiyo ni stori kubwa sana eti,kwani mameload anashiriki mashindano hayo ili ashindwe? Kila timu inayoshiriki imefuzu na ipo tayari kushindana. Waafrika tunajijua wenyewe
Huelewi nini hapo, katika Kila mchezo ukishinda unapewa usd milioni 2, ukidraw unapewa usd milioni 1, haijalishi utaishia hatua gani!!!Sio kweli..michuano bado inaendelea...mamelodi ameshinda mchezo wa kwanza jana.....ameifunga timu kutoka Korea.
Wydad nae ametoka kufungwa na Manchester city mda mfupi uliopita....
Nimewaona stephane Aziz ki na mwenzake Suleiman mwalimu wakiwa bench.
🤣🤣🤣 Okeeeee sikujua hiloHuelewi nini hapo, katika Kila mchezo ukishinda unapewa euro milioni 2, ukidraw unapewa euro milioni 1, haijalishi utaishia hatua gani!!!
Ukipigwa unafutwa machozi na kiasi ganiKikosi cha Mamelodi Sundowns imekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kushinda mchezo kwenye FIFA Club World Cup 2025.
Mamelodi imekusanya kiasi cha Tsh. Bilioni 5.2 baada ushindi, FIFA Club World Cup ukishinda unapata Tsh. Bilioni 5.2 na ukitoka sare Tsh. Bilioni 2.6.
FT. Ulsan HD FC 0-1 Mamelodi Sundowns.
Hulambi hata miaUkipigwa unafutwa machozi na kiasi gani
Shida ni nini mkuu mpaka watu wamekuwa wachache viwanjani? Maana hata kocha wa Chelsea amelilalamkia hilo?Mamelodi wameshinda katika uwanja wa watu 25,000 lakini watu wote waliofika kiwanjani walikuwa 3,000 tu.
Nilikuwa namsikikiza mchambuzi mmoja anasema timu hazijulikani sana.Shida ni nini mkuu mpaka watu wamekuwa wachache viwanjani? Maana hata kocha wa Chelsea amelilalamkia hilo?
Asante mkuu 🙏🙏Nilikuwa namsikikiza mchambuzi mmoja anasema timu hazijulikani sana.
Halafu Wamarekani si mashabiki ngangari wa soccer.
Halafu mashabiki kutika Afrika Kusini watu wengi wameshindwa kuja.
Wamesema wameongea na bosi wa Mamelodi kuna mpango wa kusafirisha mashabiki 400 kutoka South Africa kwenda Cleveland kwenye mchwzo unao.
Kipindi cha michezo cha BBC World Service kiliongelea haya.