Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Kwahiyo naomba kuuliza πππKwa mpira niliouona AFL al ahly tunamkanda nje ndani
Unaelewa maana ya dabi?Dabi ya Karne hyo, japo yanga watalemewa
Game na ihefu kuna factors nyingi sana zilimnyina yanga ushindi. Kwanza kiwanja kibovu pili kocha hakupanga kikosi cha kwanzaKwahiyo naomba kuuliza [emoji23][emoji23][emoji23]
Ihefu na al ahly nani bingwa wa CAF?
Kwani Yanga nao ni Mwakarobo? Mwenye jina lake amekubali kuliachia?Mashabiki wa yanga tuache kulalamika na kutaka kufika mahali ambapo hatujapapambania... Kama tunataka kucheza na mamelodi tujitahidi Kila mwaka kufika angalau robo caf... Sasa miaka 25 hatujacheza caf hao mamelodi tutakutana nao wapi sasa???
Umenena kweli mkuu! Nawashangaa wanautumia benchmark ya Yanga kufungwa na Ihefu kama kipimo cha ubora wa Yanga! Hiyo mechi Gamondi aliiwekea Kipimo kidogo sana. Atakuwa amejifunza!Game na ihefu kuna factors nyingi sana zilimnyina yanga ushindi. Kwanza kiwanja kibovu pili kocha hakupanga kikosi cha kwanza
Yeye na wewe nani kiazi mbatata?Mtu kama huyu ataendelea kutafuta tu ajira , kiazi kweli
Utoto raha sanaHatua za mbele zipi hizo, we si umeshatoka hapohapo makundi
Ulikuwa unasemaje..?Mashabiki wa yanga tuache kulalamika na kutaka kufika mahali ambapo hatujapapambania... Kama tunataka kucheza na mamelodi tujitahidi Kila mwaka kufika angalau robo caf... Sasa miaka 25 hatujacheza caf hao mamelodi tutakutana nao wapi sasa???
Hao walikuwa washaisha mzee.Kabla ya kuwaza huko, kwanza ni kumalizana na Al Ahly na Belouizdad ambao ndio wapo mbele ya Yanga.
Wewe pia uache kupumuliwa, maana mnaopumuliwa ndo mnaona kila kitu kigumu.Kuishi kwa shemeji Raha sana
Ushoga ni kitu kibaya sana.Hatua za mbele zipi hizo, we si umeshatoka hapohapo makundi
Ndo tumejitahidi kukutana nao sasa huko robo, ulitaka kuwaleta kwenye mabonanzaUlikuwa unasemaje..?
Punguza ujuaji sheikh Yahaya.Ndo tumejitahidi kukutana nao sasa huko robo, ulitaka kuwaleta kwenye mabonanza
Punguza ujuhaPunguza ujuaji sheikh Yahaya.
Kwa mpira niliouona AFL al ahly tunamkanda nje ndani