Mamelod sundowns vs Yanga Afrika

Mamelod sundowns vs Yanga Afrika

Mashabiki wa yanga tuache kulalamika na kutaka kufika mahali ambapo hatujapapambania... Kama tunataka kucheza na mamelodi tujitahidi Kila mwaka kufika angalau robo caf... Sasa miaka 25 hatujacheza caf hao mamelodi tutakutana nao wapi sasa???
Kwani Yanga nao ni Mwakarobo? Mwenye jina lake amekubali kuliachia?
 
Game na ihefu kuna factors nyingi sana zilimnyina yanga ushindi. Kwanza kiwanja kibovu pili kocha hakupanga kikosi cha kwanza
Umenena kweli mkuu! Nawashangaa wanautumia benchmark ya Yanga kufungwa na Ihefu kama kipimo cha ubora wa Yanga! Hiyo mechi Gamondi aliiwekea Kipimo kidogo sana. Atakuwa amejifunza!
 
Daah sema ukiwa shabiki wa yanga lazm ukose akili,,tim kama al hilal ,,mkashndwa kupata ushindi hata gem moja afu sa hzi unaomba ukutane na mamelod
 
Back
Top Bottom