Mamelodi hana maajabu lazima atolewe, Yanga anaenda nusu fainali kwa kishindo ijumaa ijayo

MELEKAHE

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2023
Posts
1,340
Reaction score
5,588
kila msimu mamelodi huwa anatolewaga kwenye hizi hatua za mtoano.

hizi ndio records zake mfululizo

1711872505225.png

zamu ya yanga kumtoa imeshafika
 
Jana tungekuwa na Pacome na Aucho, mbona tungeondoka na ushindi hata wa goli 2 au 3.
 
Yanga mshindi wa pili wa Caf confederations cup mwaka 2023. ana medali bado ya motoooo haijapoaaa
Kama ni medali ndizo zinashindaniwa basi Al Ahly, TP Mazembe zingekuwa zinajivunia. Ukisoma historia ya Al Ahly au TP Mazembe hautaona sehemu wamechukua medali mara ngapi
Huu ujinga wa kujivunia medali kuliko makombe nimeuona kwenye timu ya Utopolo tu😁😁😁😁😁😁😁
 
Waambie mikia waoneshe medali yao ya caf kama ni rahisi kuipata medali
 
Hapo ndipo unafeli na role model wa utopolo ni mikia😁😁😁. Haujaona timu ya kujilinganisha zaidi ya mikia? Medali zenyewe ni za shirikisho na timu zinashindana kuchukua ni makombe.
Kwanini kama medali ni sifa (ushindi) kwanini usiwaambie Al Ahly, Mamelody, TP Mazembe au Al Hilali waoneshe medali?
Mnapofeli Utopolo ni kujilinganisha na mikia
 
Back
Top Bottom