Mamelodi hawawezi kuwatoa yanga

Mamelodi hawawezi kuwatoa yanga

Mimi sidhani kama mamelodi itawatoa yanga ni suala la Muda tu

Shikeni maneno yangu haya mamelodi akiwatoa yanga mniite mbwa nimekaa hapa.

Na sio kwamba naongea kishabiki maana kuna wengine wanakuwa na tabia ya kusema Mashabiki wa yanga hawana akili Sawa sijui nini.

Ila ukweli Mamelodi watakutana na kile walicho kutana nacho mechi ya wydad

Wata droo dar es Salam 0-0.

Wanaenda kuangukia kwao uko sare ya 1-1

Ni swala la Muda tu
Nakumbuka mechi ya Yanga vs Club African kila mtu akiamini mechi imeisha kwa Mkapa ukakomaa Yanga atapindua meza kwa mwarabu na atacheza fainali ila kombe habebi, sijawai kukupuuza toka siku hiyo 😂😂
 
Unatumia methodology gani kutabiri?

Kama uliona post hii mwaka jana ili lisikushangaze nilishasema toka zamani ni swala la muda tu

Yanga wataweka Rekodi mwaka huu ya kuingia Nusu Fainali ya Klabu Bingwa
 
Msimu uliopita ulipatia kwa tabiri zako zote, msimu huu mpaka sasa umebakiza hatua moja tu. Ila mpaka hapa unatisha. Ile mechi ya Ihefu vs Yanga kuwa zitazima kelele za Hatumtaki Robertinho kwa Yanga kufungwa ndio zikanifanya nianze kuzingatia tabiri zako.
 
Kukomalia maneno yako mpaka hapo kwa mimi umeshinda haijalishi yanga atafungwa au lah, huko bondeni, umetisha kiongozi.
 
Mimi sidhani kama mamelodi itawatoa yanga ni suala la Muda tu

Shikeni maneno yangu haya mamelodi akiwatoa yanga mniite mbwa nimekaa hapa.

Na sio kwamba naongea kishabiki maana kuna wengine wanakuwa na tabia ya kusema Mashabiki wa yanga hawana akili Sawa sijui nini.

Ila ukweli Mamelodi watakutana na kile walicho kutana nacho mechi ya wydad

Wata droo dar es Salam 0-0.

Wanaenda kuangukia kwao uko sare ya 1-1

Ni swala la Muda tu
Mkuu kwema?
 
Ikitokea 1-1 nitaanza kuamini inawezekana yale mafilamu ya kwenda future na kurudi yameanza kuwa kweli.
 
Wao wenyewe hawaamini yani....
 
Ushabiki wa mpira Tanzania umevuka kiwango na kuwa ushenzi na upum*bavu uliopitiliza.

Pia ulimbukeni wa TEHAMA unachangia kuwa na idadi kubwa ya wachambuzi na wanahabari feki.

Unayaweka maoni na mahaba Yako binafsi kuwa Sheria au siyo?
What is a problem? Ametoa mawazo yake, amemaliza, kama hujapenda, endelea na shughuli nyingine, mbpna unakakamaa hivo bro, just skip the thread and go away
 
Back
Top Bottom