Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mpaka hapa umetisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka mechi ya Yanga vs Club African kila mtu akiamini mechi imeisha kwa Mkapa ukakomaa Yanga atapindua meza kwa mwarabu na atacheza fainali ila kombe habebi, sijawai kukupuuza toka siku hiyo 😂😂Mimi sidhani kama mamelodi itawatoa yanga ni suala la Muda tu
Shikeni maneno yangu haya mamelodi akiwatoa yanga mniite mbwa nimekaa hapa.
Na sio kwamba naongea kishabiki maana kuna wengine wanakuwa na tabia ya kusema Mashabiki wa yanga hawana akili Sawa sijui nini.
Ila ukweli Mamelodi watakutana na kile walicho kutana nacho mechi ya wydad
Wata droo dar es Salam 0-0.
Wanaenda kuangukia kwao uko sare ya 1-1
Ni swala la Muda tu
Unatumia methodology gani kutabiri?
Mkuu kwema?Mimi sidhani kama mamelodi itawatoa yanga ni suala la Muda tu
Shikeni maneno yangu haya mamelodi akiwatoa yanga mniite mbwa nimekaa hapa.
Na sio kwamba naongea kishabiki maana kuna wengine wanakuwa na tabia ya kusema Mashabiki wa yanga hawana akili Sawa sijui nini.
Ila ukweli Mamelodi watakutana na kile walicho kutana nacho mechi ya wydad
Wata droo dar es Salam 0-0.
Wanaenda kuangukia kwao uko sare ya 1-1
Ni swala la Muda tu
What is a problem? Ametoa mawazo yake, amemaliza, kama hujapenda, endelea na shughuli nyingine, mbpna unakakamaa hivo bro, just skip the thread and go awayUshabiki wa mpira Tanzania umevuka kiwango na kuwa ushenzi na upum*bavu uliopitiliza.
Pia ulimbukeni wa TEHAMA unachangia kuwa na idadi kubwa ya wachambuzi na wanahabari feki.
Unayaweka maoni na mahaba Yako binafsi kuwa Sheria au siyo?
Haya pia maoni yangu binafsiWhat is a problem? Ametoa mawazo yake, amemaliza, kama hujapenda, endelea na shughuli nyingine, mbpna unakakamaa hivo bro, just skip the thread and go away
Alafu we kijana nakujua.Haya pia maoni yangu binafsi