bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 9,530
- 20,988
Ndio Africa hio refa kaenda kwenye VAR kuangalia akakuta anachotakaWadau Mwenye uelewa anifahamishe jinsi ambavyo goli la TP Mazembe lilivyokataliwa.Bado sijaelewa Wadau.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio Africa hio refa kaenda kwenye VAR kuangalia akakuta anachotakaWadau Mwenye uelewa anifahamishe jinsi ambavyo goli la TP Mazembe lilivyokataliwa.Bado sijaelewa Wadau.
Plus utapeliHawajamaa sio wazuri kama watu wanavyodhani, ila basi tu mdomo mwingi
Naunga mkono hojaPlus utapeli
Masandakolozidad yatakushukia kama mwewe, usiseme sijakwambia lakini Chifu [emoji2960][emoji4]Nafikiri majibu yamepatikana ni mkundu tu atabisha
Hawajamaa sio wazuri kama watu wanavyodhani, ila basi tu mdomo mwingi
Naunga mkono hoja na wengi humu wanao wasifia ni watu wa hovyo vichwani mwaoMamelodi ni timu ya wachambuzi wanafanana sana na timu ya taifa ya uingereza
Ama taifa starz ya Tanzania
Ukitajiwa kikosi na wachambuzi utajua ni bonge la timu. Ila sasa nenda kawaone uwanjani ni kikundi cha wahuni
Kwa uchezaji ule, haishangazi kabisaHivi walifunga lini goli nadhani mechi za mwisho makundi mpaka hapa hawajagusa wavu
De Tunis wametufundisha kituKwa uchezaji ule, haishangazi kabisa
Timu haina Dira kabisaWakifika pale mbele ni aidha waanguke au wapaishe
Kocha kwangu ni tatizo pia
Wanacheza mpira mbovu, mtibwa Wana nafuuHawajamaa sio wazuri kama watu wanavyodhani, ila basi tu mdomo mwingi
Yanga alicheza kwa kuwaheshimu Sana, ila pale Hamna timu kabisaDe Tunis wametufundisha kitu
Unapopata nafasi weka chuma
Sisi kina mzize walikuwa wanaruka ruka tu yaani wale tangu kwa mkapa ilikuwa wafe
Halafu wabongo sasaTimu haina Dira kabisa
Mamelod wafupi, waarabu warefu
Afu eti mamelodi anategemea cross kuwafunga waarabu,
wendawazimu gani huu😂
Mipira mirefu yote waarabu walkua wanachukua tangu first half, second half wakarud na mbinu ile ile.
Yaan walkua wanacheza jihadi TU utadhan kuku alokatwa kichwa
Naunga mkono hojaWanacheza mpira mbovu, mtibwa Wana nafuu
Timu haina Dira kabisa
Mamelod wafupi, waarabu warefu
Afu eti mamelodi anategemea cross kuwafunga waarabu,
wendawazimu gani huu[emoji23]
Mipira mirefu yote waarabu walkua wanachukua tangu first half, second half wakarud na mbinu ile ile.
Yaan walkua wanacheza jihadi TU utadhan kuku alokatwa kichwa
Watu wanaangalia performance yao ya hivi karibuni msifikiri wanaropoka tu, msimu uliopita tu hapo walimpiga Al Ahly goli 5 na msimu huu wamechukua kombe la AFL, huku wakimtoa Al Ahly kwenye semi finalsHalafu wabongo sasa
Utaskia aaah mokoena hatari kwa faulo
Kumbe ujinga mtupu mkude tu alimzima