Mamelodi ni Overrated, sijui ukubwa waliupataje

Mamelodi ni Overrated, sijui ukubwa waliupataje

Mamelodi ni timu ya wachambuzi wanafanana sana na timu ya taifa ya uingereza

Ama taifa starz ya Tanzania

Ukitajiwa kikosi na wachambuzi utajua ni bonge la timu. Ila sasa nenda kawaone uwanjani ni kikundi cha wahuni
Naunga mkono hoja na wengi humu wanao wasifia ni watu wa hovyo vichwani mwao
 
Wakifika pale mbele ni aidha waanguke au wapaishe

Kocha kwangu ni tatizo pia
Timu haina Dira kabisa

Mamelod wafupi, waarabu warefu
Afu eti mamelodi anategemea cross kuwafunga waarabu,

wendawazimu gani huu😂

Mipira mirefu yote waarabu walkua wanachukua tangu first half, second half wakarud na mbinu ile ile.

Yaan walkua wanacheza jihadi TU utadhan kuku alokatwa kichwa
 
Halafu wabongo sasa

Utaskia aaah mokoena hatari kwa faulo
Kumbe ujinga mtupu mkude tu alimzima
 
Timu haina Dira kabisa

Mamelod wafupi, waarabu warefu
Afu eti mamelodi anategemea cross kuwafunga waarabu,

wendawazimu gani huu[emoji23]

Mipira mirefu yote waarabu walkua wanachukua tangu first half, second half wakarud na mbinu ile ile.

Yaan walkua wanacheza jihadi TU utadhan kuku alokatwa kichwa

Ndio maana nasema Kocha kama hana uwezo
 
Halafu wabongo sasa

Utaskia aaah mokoena hatari kwa faulo
Kumbe ujinga mtupu mkude tu alimzima
Watu wanaangalia performance yao ya hivi karibuni msifikiri wanaropoka tu, msimu uliopita tu hapo walimpiga Al Ahly goli 5 na msimu huu wamechukua kombe la AFL, huku wakimtoa Al Ahly kwenye semi finals

Bado hatujaongelea AFCON iliyoisha mwaka huu, timu ya SA ilivyoperform vizuri hasa ilipoitoa Morocco tena huku ikiondoka na clean sheet, na zaidi ya nusu ya first eleven ya SA walikuwa ni Mamelodi Sundowns

Sema basi tu kwa vile walikutana na Nigeria ambayo wachezaji karibu wote wanachezea vilabu vikubwa Ulaya, ndio wakatolewa wakaishia kuwania na kushinda nafasi ya tatu, kwahiyo siyo kwamba ni timu ndogo inawezekana labda imeanza tu kushuka viwango au kocha kuna mahali anakosea
 
Back
Top Bottom