Mamelodi Sundowns 0 - 0 Al Ahly SC | CAFCL | Semi-Final | 1st Leg | Loftus Versfeld Stadium | 19-04-2025

Kazi ipo, viungo hata nafasi hawatengenezi bana, huyu kocha kipindi Yuko Esperance Sportive de Tunis mpira wake ulikuwa ni wa haraka na muda wote watu hukimbia kwenye flanks, finishing tu ndo ilikuwa inamuangusha. Huku mamelodi tatizo ni wale viungo wake. Mechi ya marudiano huwa inaogopesha zaidi kuliko hii hasa mkitoka droo bila magoli mechi ya kwanza na sheria zetu za magoli ya ugenini.
 
Naona wanaenda kufungwa kirahisi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…