Mamelodi Sundowns 0 - 0 Al Ahly SC | CAFCL | Semi-Final | 1st Leg | Loftus Versfeld Stadium | 19-04-2025

Mamelodi Sundowns 0 - 0 Al Ahly SC | CAFCL | Semi-Final | 1st Leg | Loftus Versfeld Stadium | 19-04-2025

Kama mwanasimba naombea Al Ahly achukue ndoo ili sisi wengine kajamba nani tuje kwenda CWC kama best losers
 
unaangalia mpira ama ushabiki tu..?
angalia mpira uone wanavyocheza wangecheza hivi kipindi wanacheza nasisi yanga kipindi kile hehe! tungejipigia kama tunavyojipigia makolo...🤣
Masandawana waliwapiga tukio la milele nyie Uto, hamtakaa msahau.

Nweiii naamini masandawana atafanya vizuri hii round.
 
Hawa mamelodi wafanye maujanja maana naona suluhu hapa, wafanye wapate goli.
Acha wafungwe....mipasi mda wote,huku Caf mipasi hainaga maana,huku Piga pasi milioni watu wanakuangalia tu na Hku watu hawafungani nyingi ..... Utashangaa ghafla chwaaa kimoja tu ndani...afu watu haooo
 
Mashabiki wa Al Ahly wako moto
 
Mkuu umeongea kinyume chake!
Ninachoona Mamelodi wamepunguza mpira wa vipasi vingi visivyo na faida. Nadhani wana shida katika kufikisha mipira kwa Shalulile. Halafu wana viungo wengi wafupi kwa hiyo hawawezi hata kubadili style wacheze mipira mirefu.
 
shikilia maneno mkuu wanaweza kubadilika mpira timu inaweza ikacheza hovyo na ikapata matokeo!.. mpira huwa haueleweki japo nafasi ya ushindi anapewa zaidi anaecheza vizuri....
Kwa uchezaji huu mamelodi hata hashawishi kwakweli
 
Na waarabu kwa kulijua hilo ndio maana wakianzia ugenini wanapaki tu basi walau wapate draw ya bila bila ili wakakumalize kwao
Mamelodi huwa hana cha nyumbani wala ugenini. Kokote kwake kambi
 
Hii ndio ilikuwa inacheza na yanga kipindikile au kuna mabadiliko makubwa?
 
Back
Top Bottom